Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

Ukifuatilia makala mbali mbali za AIR CRASH INVESTIGATION za National geographic utagundua matatizo kama haya ni ya kawaida sana kwenye ndege
 
Hiyo ndege yenyewe ni siasa ndo maana wenyewe wakaipa chapa ya ule msemo wao maarufu wa kampeni wa "Hapa Kazi Tu"
Ila tunaopanda sio wote wana siasa. Kwanini sasa tuingie kwenye siasa wakati hiyo ni huduma. Kwa mfano, Muhimbili nako utasemaje?
 
No retreat no surrender,
hahahahha nadhan ulimi wake uliteleza msamehe. P rekebisha.au futa usemi wako ili tusiku judge otherwise..mimi nimenunua vitu vingi kwa cash na vina guarantee ya mwaka na.zaidi....it doesnt matter whether ni.cash or loan basis.. hata wale wa hizo ndege wana maintanance period..ikiisha basi wanakuwa na uhakika chombo chao kipo vizuri..zipo chini ya uangalizi mkuu mwambie
 
Kwa matatizo engine za Pratt & Whitney ziliyo nayo,je kuna haja ya kuangalia upya uagizwaji wa ndege za Airbus A220-300 zenye engine aina ya Pratt & Whitney?I believe yes.Mimi naamini sana products za Rolls Royce.Hebu tuachane na engine za Pratt and Whitney,lets go for Rolls Royce for a change.
 
Nimesoma sana...labda wewe hujasoma vizuri nilichoandika. Ndio maana nikasema sio jambo la kawaida. Ukiona mpaka FAA wametoa tahadhari maana yake kuna jambo lisilo la kawaida kwenye ndege hiyo na Pratt and Whitney waliotengeneza engine (sio airbus kama unavyodhani wewe) inabidi either wabadilishe engine au wafanye marekebisho
Umesoma habari yote? Hii ndege ni toleo jipya. Wamesema hili tatizo limekuwa likitokea kwa ndege nyingine za aina hiyo. Uzuri ni kwamba tatizo linajulikana na kama ni kubadilisha engine basi Airbus ndiyo wabaeba gharama.
 
Sijasema haliwezi kutokea..nimesema sio jambo la kawaida. Na ukisoma habari yote hiyo ni dhahiri. Ukiona shida hiyo hiyo inatokea kwenye ndege mbali mbali za aina hiyo mpaka FAA wanatoa onyo..ujue kuna jambo lisilo la kawaida hapo na mtengenezaji wa engine (pratt and whitney) inabidi awajibike
Ungewahi kufanya kazi kiwanda chochote ungejifunza kuwa hata gari mpya zinazopita computer test zote inaweza kuharibika siku mteja akiinunua...

Brand new imara ni alichoumba mungu tu.
 
Haya ndio mambo yanasababisha hua naogopa sana kupanda ndege. Sijawahi kuzoea hiku chombo cha angani.

Shukrani abiria wote na marubani wao walitua salama na ni wazima.

Mi pia! Hata hivyo kitakwimu, usafiri wa ndege ni salama zaidi kuliko usafiri mwingine wowote!
 
Hizi ndege, mh!!!!!

Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!

Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
[emoji95][emoji95]
 
Basi umedandia treni ya kigoma wakati unakwenda mbeya. Huo ndio ushamba na ubwege. Unapoteza time ngoja nikamue dhahabu zangu msukuma mie.

Ww mpaka ukamue dhahabu, sio kila mtu anahusudu kazi za labour intensive, watu tuko hapa hapa mjini tunakula kwa ulaini, dunia hii ya technology tukakae huko maporini kuhusu nini? Ww chimba huko mgodini uteseke, kisha sisi tunaangalia masoko online tukavute hela ndefu.
 
Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?

..wahusika wasipotoa taarifa / maelezo wanatoa nafasi kwa habari za uvumi zisizo za kweli kuenezwa.

..msemaji wa atcl anatakiwa ajitokeze na kueleza chanzo cha ndege kusitisha safari na kuwatoa mashaka wateja wa atcl.
 
Usifananishe matengenezo ya gari ya familia yako ma kodi za watanzania. Ya familia anachangia baba na mama na nyote mnapanda bure. Hapa ni kinyume
 
Hizo ndege ni zaidi ya mtumba yani ni ronyaronya,awamu ya washamba imetupiga mabillioni ila mungu fundi anazidi kuwaumbua na mikweche yao
 
Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Pointi iliyopo ni kuwa je, dege ni bovu au sio bovu? Full stop!
 
Pointi iliyopo ni kuwa je, dege ni bovu au sio bovu? Full stop!
Na usiri usio na sababu unaleta picha mbaya na kuharibu image ya kampuni. Makosa ya engine si ya ATCL, ni ya watengenezaji. Kuficha huwapa competitors wako kukuzushia mengi.
 
Tunainvest Wanafunzi ndio hao wanatoka hawajui hata tofauti ya R na L, acha tupande Ndege tu.
Kwani aliezinunua hizo ndege si nae hizi herufi bado zimeendelea kuwa changamoto kwake? Hulijui hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…