Insurgent
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 469
- 18
Wandugu, Wajameni,
Nimeongelea mengi katika mazuri yanayofanywa na serikali yetu likiwa pamoja na lile la serikali kuisaidia Air Tanzania.
Nilifurahishwa pale CEO huyu mpya, David Mattaka, alipotangaza mipango ya ndege mpya pamoja na uamuzi wake wa kutumia Mercator service kwa ajili ya Revenue accounting.
Nimesikitishwa na yeye kuamua kuitupilia mbali logo yetu ya zamani ya Air Tanzania:
Na kutuletea logo mpya iliyokuwa designed na wakenya ambayo inafanana na ile ya Kenya Airways.
Hivi tumeishiwa creativity kabisa na tumeamua kuwa copycats?
Naomba mchango wenu kabla ya kumuandikia CEO rasmi kumuomba alifikirie hili.