Aina za wauaji na mauaji

Aina za wauaji na mauaji

Tusizungumzie uhalali au uharamu tuzungumzie uhalisia
we ni ndege unaeruka kila tawi litakalotikiswa na upepo hata kama ni upepo wa mkono!
ni uhalisia upi unaotaka kuuzungumza..?
 
we ni ndege unaeruka kila tawi litakalotikiswa na upepo hata kama ni upepo wa mkono!
ni uhalisia upi unaotaka kuuzungumza..?
Wa ndege anayeruka kila tawi
 
Hapana sina mazunngumzo
Ndo maana nakuchukuliaga wake zako hueleweki unaruba kama ruba natunguli zinazopumua kama mtu mnene anaepanda mlima! napo utasema nakusimanga😀 maana huishiwi visanga!
 
Hebu tujifunze jambo hapa ili tusitatizike linapotokea.. Nazungumzia kuhusu kuua.. Kutoa uhai wa mtu

1.Ameurter killers.. Wauaji wasio na ujuzi... Huacha alama huua hovyo sio wataalam.. Ni watu wanaopewa kazi wasioimudu.... Hawana shabaha... Refer tukio la TL Dom..
2. Professional killers.. Wauaji wataalam, wataaluma wanajulikana pia kama born to kill.. Yaani wamezaliwa kwa ajili ya kuua, kuangamiza.. No mistakes... No traces. Trained to assassinate...! Hawaoni shida kutoa uhai wa mtu .. Ni kama kumuua mbu....
3. Snipers.. Wadunguaji.... Hawa ni wataalam wa kutumia risasi, wana shabaha na hukaa mbali... Hawakwepeshi.. Hawakosei... Hawa nao wako kwenye kundi la born to kill ila wakiwa wamejikita kwenye sekta moja tu kudungua... Target ni moyo ama kichwa.....
4. Cold blood killers... Hawa ni watu wa kuogopwa mno.. Nadhani hawana roho wala hisia... Ni wauaji naweza kusema wenye matatizo ya akili.. Huua taratibu na kwa mateso makubwa mno.. Hawa ndio wale hutenganisha viungo kimoja baada ya kingine na sometimes kujirekodi na hata kuvipika viungo husika
5. Shooting spree killers... Hawa ni wauaji wenye msongo wa mawazo stress ama Maumivu ya mapenzi.. Hufikia kuona kila mmoja ni adui yake hivyo huchukua silaha na kutafuta kadamnasi ya watu na kuwafyatulia risasi kwa raha zake... Na mara nyingi huishia na kujimaliza na risasi ya mwisho...
6. Serial killers. Hawa ni wa mauaji ya mfululizo.. Ni wahalifu na wavunja sheria... Huanza kuua mmoja kwa sababu yoyote ile na huendelea kufanya mauaji kwa nyakati tofauti kwa sababu ile ile ama sababu nyinginezo mpaka akamatwe
7. The assassins.. Licensed to kill... Wauaji wenye vibali, leseni za kuua.. Hawa huwa ni waajiriwa wa mamlaka za nchi na huua kwa manufaa ya nchi.. Wanafundishwa kuua viongozi, wanasiasa ama mtu mwingine yeyote ambaye anaonekana ni tisho kwa usalama wa taifa, huwa hawashtakiwi popote ... Sometimes hutumika vibaya na mamlaka...!!!
8. The hangers... Wanyongaji hawa ni watu wema wenye ajira rasmi... Kazi yao ni kuwanyonga wahalifu wote waliohukumiwa hukumu ya kifo.. Hawa hufanya ibada pamoja na watu wanaotarajia kuwanyonga

Vyovyote iwavyo mtu yeyote yule kwa sababu zozote zile, mwenye uthubutu wa kunyanyua mkono wake, ama kupanga mauaji ya mtu mwingine kwa kufanya mwenyewe ama kushirikisha wengine kwa ahadi ya malipo nk... Mtu huyo ni wa kuogopa kama ukoma kwakuwa inawezekana kabisa ni mmojawapo kati ya zile manii zilizokosea njia zikatunga mimba za bahati mbaya... Yaani hawakupaswa kuzaliwa..... View attachment 674716
Nimejifunza mengi leo
 
Ndo maana nakuchukuliaga wake zako hueleweki unaruba kama ruba natunguli zinazopumua kama mtu mnene anaepanda mlima! napo utasema nakusimanga😀 maana huishiwi visanga!
 
Usiogope huyu ni mtani wangu!
hapo atakuwa amefura sahivi katandaza mahirizi yanahema kwa kasi ya bombadier! huku kashika usinga ktk nyanja tofauti tofauti huku akisema "abdakadabra" mishumaa nayo ikipepea ktk chumba mithili ya makao makuu ya tanesco!
cha ajabu yote hayo hayafui dafu kwenye chuma cha mjerumani😀
 
sawa bhana kumbe mnajuana
 
Ndo maana nakuchukuliaga wake zako hueleweki unaruba kama ruba natunguli zinazopumua kama mtu mnene anaepanda mlima! napo utasema nakusimanga😀 maana huishiwi visanga!
Duu...! Wake zangu...
 
Usiogope huyu ni mtani wangu!
hapo atakuwa amefura sahivi katandaza mahirizi yanahema kwa kasi ya bombadier! huku kashika usinga ktk nyanja tofauti tofauti huku akisema "abdakadabra" mishumaa nayo ikipepea ktk chumba mithili ya makao makuu ya tanesco!
cha ajabu yote hayo hayafui dafu kwenye chuma cha mjerumani😀
 
Umesahau wauaji wa kitoa makafara hawa ndio wenye roho mbaya they knows what is gonna be
 
Umesahau wauaji wa kitoa makafara hawa ndio wenye roho mbaya they knows what is gonna be
Wanajiita holy killers kuna picha nimeambatanisha mtoto anatolewa ubongo live
 
Umesahau wauaji wa kitoa makafara hawa ndio wenye roho mbaya they knows what is gonna be
maxresdefault.jpg
 
Wewe ni nani hadi uamue nani anapaswa kuzaliwa na yupi hapaswi? Na kama una huo uwezo utashindwaje pia kuwa muuwaji?
Nimekukumbuka nikajiuliza sijui wewe uko kundi gani hapa maana jf members wanajua hiyo ndio shughuli yako
 
Back
Top Bottom