Aina za single mother

Wanaume wanawasimanga SINGLE MOTHERS
SINGLE MOTHERS wanatusimanga sisi kuwa hatujui leba..
Wenye ndoa Hali kadhalika wanatusimanga hatujaolewa! Dunia haina huruma
Achana nayo hayo matakataka wala yasikuumize roho! Huyu jamaa ana scenarios za kipumbavu naweza kusema hivyo! Yote aliyoeleza hapo hakuna hata moja la ukweli!
 
Mm mwenyewe sizitaki 😂😂 kwann wewe kariakoo afu mwenzio saidia fundi Tena huko homboza (joking)
Mkuu huku kariakoo mimi nafanya kazi kwa muhindi jua kali huku juu..
Kufua fua na kazi zingine mkuu acha kabisa.

Ila sio mda takua mlinzi maana kuna jamaa alinipa connection ya ulinzi daah yule jamaa ni wa hapa hapa jf ila naweza kusema jamaa ni matako sana
 
Kwanini sio kalagabao maake ndo job zake 😂
 
Mngekua mnafungua madarasa mnawapiga twisheni vijana mnakula hela.

Mkuu madini ya thamani uliyoyamwaga hapa, yangelimwagwa darasani yangenufaisha wengi zaidi nawe ukanufaika kwa elimu yako.

Vijana wanapofikia maamuzi ya kuoa single mother, huhemkwa na matako pamoja na msura wa mwanamke bila kuangalia vigezo kama ulivyovieleza kiufanisi kabisa.

Ukitoa single mother uliye mgroup #1, basi wengine wote waliobaki wanafanana kama soda ya coca cola, popote uendako ni hiyo hiyo!

Hakuna kitu kibaya maishani kama kujitwisha majukumu ambayo kiuhalisia si yako hayakuhusu!

Mi huwa nasema kama kijana umelizimikia limsingle mom kwa nini usilifanye kimada ili baadaye akili zikikusogea ujiset?

Kuingia mzima mzima kwenye ndoa na singel mom ni kuhatarisha mustakabali wako, kwa sababu ndoa zinalinda sana haki za wanawake.

Mwenzenu kaja na hoja yenye elimu ya maana sana kusaidia vijana wanaochipukia, chukueni hiyo muishi nayo!
 
Kaka umejitahidi sana kuwatetea sawa, lakini mleta uzi ana hoja ya msingi sana. Kama tutaikataa hoja yake basi tutakuwa tunajidanganya sana.

Pili mleta uzi anamuongelea zaidi mwanaume anayetaka kuwa mpenzi wa single mama, ila wewe hapa umeongelea watoto waliolelewa na single mama.

Kwa heshima kabisa, hivo ni vitu viwili tofauti sana kaka.
 
Wanaume wanawasimanga SINGLE MOTHERS
SINGLE MOTHERS wanatusimanga sisi kuwa hatujui leba..
Wenye ndoa Hali kadhalika wanatusimanga hatujaolewa! Dunia haina huruma
Shaurianeni kwa ukweli bila wivu.

Wanaume kushauriana juu ya singo maza ni kweli tupu, ila wanawake wanadanganyana sana.
 
Makaveli 10 mstari wa 14
Waiteni single mother,wajane na wanawake over 35 wasioolewa waje kwangu, maana mimi ndio mfariji wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…