Aina za majini na kazi zake

Aina za majini na kazi zake

Tulia mkuu usisome kizembe. Mbona hayo maelezo hata mtoto Wa darasa LA pili atakushangaa kurudi kuulizauliza wakati jibu unalo.
Narudia:Hakuna kiumbe wala kitu kinachoweza kujiumba, sifa ambayo hata huyo jini au shetani hana ni uwezo Wa kuumba kitu. Mungu ni Muumba Wa kila kitu. Ila Lucifer alihasi akafurushwa na wenzake waliomuunga mkono Leo ndio shetani na majini wanaowaaminisha watu kua wapowasafi. Ila ukweli yote ni mashetwain.

Mfano upotofu mwingine Wajenzi Huru\freemason wanamuabudu shetani kama Lucifer wanadai alionewa hakupaswa kufukuzwa na aliyemfitini wao wanamuita Adonai sisi tunamuita Yesu. Huu ni muendelezo Wa udanganyifu Ila huku ni dimension nyingine ya upotovu.
shetani ni nani na jinni ni nani?
 
Unajichanganya changanya nini !? Ulidai Mungu hakuumba mashetani na malaika wachafu, mara unarudi na kukataa na kuongeza mkorogo mwingine ! Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
Naona kama umechanganyikiwa hivi ! Nahisi utakuwa na pepo mojawapo ! [

QUOTE="MSEZA MKULU, post: 16200630, member: 49261"]Hapo unafeli,
Nimesema according to archeological and historical evidences. Hizo za mtu kuwa nyani wanafundishwa waafrika wachache, lkn theories of evolution za wakina Darwin na wenzake za mtu kuwa nyani au nyoka kuwa na miguu au twiga kuwa mfupi hivyo vyote having evidence na debetable hadimkesho kwanza zimeshakuwa proven wrong na new theories kibao na creationist.

Hiki ninachokuambia ni factbased maana historia ya middle East can be traced back with evidences hadi miaka zaidi ya mitaani kabla ya yasu, hii tunazungumzia miaka michache AD, kipindi ambapo maandishi na vitu vingi vilikuwepo. Mfano hotel moja ipo Japan hadi Leo ipo na unafanya kazi wakati ilijengwa miaka michache tu bàada ya kuanzisha kwa Islam.
Mbona mambo mepesi unataka kutumia nguvu kutetea usivyovielewa.[/QUOTE]
 
AL BADIRI NI JINI? Mbona kuna kisomo kinaitwa Al badiri husomewa wezi wanaoiba au hata kama mmezuishana mambo makubwa inasomwa hiyo albadiri na aliemuongo ndio inamshika na kumdhuru aidha kwa kufa au kuwa kichaa...hebu nifafanulie.
Tena wanaisomaga watu Wa iman fulani
 
18befceeff10d0bad471a2f7d9271222.jpg
Huyo mungu wako lord atakuwa ni huyo jini makata!
 
AHL-BADRI;

sio JINI.... ni kisomo cha kumpa mashitaka/malalamiko Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa Imani ya Kiislamu!!

neno "Ahl-Badri" maana yake ni watu wa Badri au watu waliopigana VITA YA BADRI katika historia Uislamu!!

Hiki kisomo kama ukisikia kinasomwa au kama ukikiona kitabu chake basi hua kinataja MAJINA YA WATU WOTE WALIOSHIRIKI VITA YA BADRI!!

mtu anaposema Alibadir basi ana maanisha ni kisomo tu na sizani kama kina mahusiano na majini!! ni kama maombi ya mtu aliyedhulumiwa... kama wewe unayesoma iki kisomo kumkusudia mtu ambaye hana hatia huwa inakudhuru wewe mwenyewe...

Ingekua Alibadiri ni jini basi nahisi wengi tungekufa au kuwa vichaa... maana ingekua ni kama aina flani ya ushirikina tuliouzoea mtu anakudhuru kwa husda zake tu!!

kama nimekosea au nimewakwaza watu basi naomba mnisamehe!!

#Peace
Sasa mbona watu wanasomewa wanakufa au kuwa machiZi Na hawaponi teeena!
 
Huyu mdudu na yale madude ni kama paka na panya ndo maana hata katika mambo ya kishirikina material ya Noah hutumika kama kinga
Kwa akili hizo za kucomment ujinga kama huu, utakuwa the most dumbest i JF ! Lakini Yesu aliyatoa mapepo kwa watu na kuyashakizie nguruwe, sasa yamakuwaje kinga !?
 
Sasa mbona watu wanasomewa wanakufa au kuwa machiZi Na hawaponi teeena!
Watu waliopigana vita ya Badr wamesifiwa na Mwenyezi Mungu ndani ya Qur'an na mpaka leo hao watu wanaruzukiwa mpaka siku ya kiama. Vita ya Badr walipigana mpaka Malaika. Makafiri walikuwa wamekusudi kuufuta Uislaam, walikuwa jeshi kubwa la wapiganaji zaidi ya 1,500 wakiwa na tembo 300, ngamia na farasi jumla ya 700 wakati Jeshi la Waislaam likiongozwa na Mtume Muhammad saw, Wapiganaji 300 na farasi kama 50 na ngamia kadhaa ! Makafiri wangeshinda, basi Uislaam ungefutika, na Waislaam walishinda huku Makafiri wakishangaa kuona kinachotokea uwanja wa mapambano.
 
Duuu makafiri hao walitokea WAP ? Na hiyo badr ikisomwa au kushtakiwa kwa mola ndo inakuwa mateso makubwa hivyo!
 
Unajichanganya changanya nini !? Ulidai Mungu hakuumba mashetani na malaika wachafu, mara unarudi na kukataa na kuongeza mkorogo mwingine ! Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
mzito kidogo kupambaanua na kuconnectdots sitachoka kufafanua.
narudia Mungu alimuumba lucifer aliyejibadili kuwa shetan kwa tamaa zake yeye na malaika zake waliomuunga mkono wakaamua kuwa majini na mashetani. mbona vitu vyepesi mkuu. mfano Mungu aliumba ngano ambazo watu wamezibadili na kuwa pombe haimaanishi Mungu aliumba pombe. ila maana zote mbili vyovyote utakavyotaka kuelewa ila mwisho majini ni mashetani
ila nashiukuru angalau umetambua majini ni mashetani hakuna jini jema .
 
Huyu mshana jr amepost upumbavu kwa ajili ya mapoyoyo na tunajaribu kuwasaidia wenye akili wasiangukie huu upumbavu !

How do you tastify the invisible !?

Wewe mshana jr ni mpumbavu mwili mzima !
Binafsi nimekudharau kuliko MTU mwingine yoyote hapa huyo jamaa kama ana hoja za kipuuzi hukupaswa kabisa kushadadia mada zake kimsingi wewe ndio poyoyo namba moja, mada ukiona haikufai ipotezee
Watu wa namna yenu mna akili finyu sana mmejaa ujuaji wa kike na wewe bandiwe ni mmojawapo
 
@MshanaJr umesahau limoja... Jini Mafuta..linakaa sana kwenye magari... hasa altezza 6 cylinder, Subaru, brevis, mark x.... yani ukieka tu mafuta twa elfu 10 hufiki kokote.. tumeisha
Hahhahahaaaa
 
Binafsi nimekudharau kuliko MTU mwingine yoyote hapa huyo jamaa kama ana hoja za kipuuzi hukupaswa kabisa kushadadia mada zake kimsingi wewe ndio poyoyo namba moja, mada ukiona haikufai ipotezee
Watu wa namna yenu mna akili finyu sana mmejaa ujuaji wa kike na wewe bandiwe ni mmojawapo
..... wewe ndo nimekudharau jumla maana ni mpumbavu tu kama yeye, ndo maana ukajiita kizibo1 cha kuzibia hiyo tundu yako !
 
mzito kidogo kupambaanua na kuconnectdots sitachoka kufafanua.
narudia Mungu alimuumba lucifer aliyejibadili kuwa shetan kwa tamaa zake yeye na malaika zake waliomuunga mkono wakaamua kuwa majini na mashetani. mbona vitu vyepesi mkuu. mfano Mungu aliumba ngano ambazo watu wamezibadili na kuwa pombe haimaanishi Mungu aliumba pombe. ila maana zote mbili vyovyote utakavyotaka kuelewa ila mwisho majini ni mashetani
ila nashiukuru angalau umetambua majini ni mashetani hakuna jini jema .
....mtu mwenye akili timamu akisoma hiyo (bold) sentensi atelewa tu kuwa huelewi na hujielewi !
Lucifer aliyejibadili kuwa shetani ! .....na malaika zake waliomuunga mkono wakamua kuwa majini na mashetani !
Lucifer alikuwa na 'malaika' wake !!?? MSEZA MKULU
 
Duuu makafiri hao walitokea WAP ? Na hiyo badr ikisomwa au kushtakiwa kwa mola ndo inakuwa mateso makubwa hivyo!
...hata wale walio msulubisha Yesu msalabani walikuwa makafiri, na Firauni na watu wake walio mpinga Musa pia walikuwa makafiri.
Hiyo vita ya Al Badri (ni hapo uwanja wa mapambano ndo palikuwa panaitwa Badri) Mwenyezi Mungu aliteremsha Malaika kupiga na vita sambamba na Waislaam, kwa utukufu wa watu waliopigana vita hivyo, wako wasomi (wa Dini) ambao wanafanya maombi (duwa'ah) kupitia utukufu huo. Na maombi yakifanywa kwa unyenyekevu huwa hayarudi nyuma ! ......... Siku hizi wasomi wengi wanakwepa, kwani ni kuhukumu, pia kesho kila mtu ataulizwa kwa alifanyalo ! nyiokunda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom