Aina za majini na kazi zake

Aina za majini na kazi zake

Huyo mungu wako lord atakuwa ni huyo jini makata!
u better keep quite kwenye mambo yanayo husu mungu usije ukapata laana bure kumbuka we ni mwanadamu tuu huezi mkashfu mungu na kumfananisha na majini this is too much ndugu Mungu hadhiakiwi si mwanadamu .Mungu na akuhurumie akusamehe mana sidhani kama humuheshimu yeye je mwanadamu,change this world tunapita hujui uendako bora ukae kimya kuliko kukosa busara.
 
Mungu anadhihakiwa kila siku ! ....ati kapigiliwa mtini ! mamchu
Yesu Msalabani.jpg
 
nyiokunda ushahidi wa Vita vya Al Badri ndani ya Qur'ani ni huu, elimika.

'Na Mwenyezi Mungu alipokuahidini kuwa moja katika makundi mawili ni lenu. Nanyi mkachagua lisilo na nguvu ndio liwe lenu (askari 300 dhidi ya 1,500 !) Na Mwenyezi Mungu anapenda ahakikishe Haki kwa maneno yake, na aikate mizizi ya Makafiri.

'Mlipokuwa mkimuomba msaada Mola wenu Mlezi, naye akakujibuni kuwa: Kwa yakini Mimi (Mwenyezi Mungu) nitakusaidieni kwa Malaika elfu wanao fuatana mfululizo.

'Mola wako Mlezi alipowafunulia Malaika (na kuwaambia): Hakika Mimi ni pamoja nanji, basi watieni nguvu (Waislaam) walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za (Askari) walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila nchi ya vidole.

'Hamkuwauwa nyinyi lakini Mwenyezi Mungu ndiye aliye waua. Na wewe hukutupa ila Mwenyezi Mungu ndiye aliyetupa (Mtihani) ili awajaribu Waumini majaribio mema yatokayo kwake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msikizi na Mjuzi.

'Ndiyo hivyo ! Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kudhoofisha vitimbi vya Makafiri.
Qur'an: 8:5-19

'Na mlipokutana (nao) akakuonyesheni machoni mwenu kuwa wao ni wachache (Askari Waislaam 300 dhidi ya Makafiri 1,500 !) na akakufanyieni nyinyi ni wachache (mbele ya macho ya Makafiri) machoni mwao, ili Mwenyezi Mungu atimize jambo lililo kuwa liwe. Na mambo yote hurejeshwa kwa Mwenyezi Mungu
Qur'an: 8:44.
 
Kweli wewe mzoefu...by the way bandiwe kikwetu ni shoga mzoefu kwahiyo umejichagulia jina murua kabisa
Majina ya wenye vizibo mataconi yaliisha !?? kizibo1 ...Kwetu ni 'Mfalme, Chifu, Mtemi, Omukama !' na ni 'kiapo' ........ nikutajia hilo jina/neno kama nimekusudia kitu ujue sirudi nyuma hapo, kama roho au mkund-u wako lazima niondoke nao !
 
Hahahaaaaa hebu sema kweli wewe junya kwenu wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom