Naam kiongozi majini ni viumbe kama tulivyo sisi binadamu,ndani yake kuna wema na waovuhii ni kwa mujibu wa kauli ya Mwenyez Mungu Mtukufu... KAMA TULIVYO BINADAMU KUNA WAISLAM WEMA NA KUNA WAKRISTO WEMA PIA KUNA WAISLAM WAOVU NA PIA KUNA WAKRISTO WAOVU ndani koo za majiniHivi hakuna majini ambayo yana majina ya Kikristu?
Samahani lakini..!!
Hili ni la kweli!!cheki jina langu hapo juu na ukipenda kujua zaidi ni PMHivi ni kweli binadamu anaweza kuoa jini? Nina rafiki yangu mtu wa Tanga ndugu yake na shehe fulani Marehemu eti ukoo wao wana undugu na majini na hata yeye ana mchumba jini, huyu jamaa alisoma sana mpaka urusi akapata kazi sehemu fulani lakini ile kazi ikaota mbawa kwenye mazingira ya ajabu ajabu tu na tangia hapo ametafuta kazi mpaka akakata tamaa, kajaribu biashara hola, eti huyo jini mchumba akamtokea akamwambia arudi Tanga kuchukua mikoba ya babu yake na yeye ndie mchumba, jamaa ana mke na watoto wakubwa kabisa, sasa hivi yuko Tanga na jini mke wamefunga ndoa na huwa linamtokea usiku wanafanya yao asubuhi anandoka bila matatizo na maisha ni poa tu, Mshanajr hili linakuwaje?
Kama nilivyotangulia kusema majini na binadamu sote ni viumbe wa mungu,Kazi tunazofanya wanadamu hata ujinini pia wanafanya,kuna mafundi bomba,umeme,madaraja,wasomi wakubwa,mapadre mashekh n.k pia kama tunavyosaidiana wanadamu katika shida,pia majini husaidia wanadamu na hata wanadamu wenye vipaji vyao huwasaidia majini wanapokuwa na shida(mara nyingi wanapofungwa kwa kuzidiwa nguvu na majini wenzao waliotumwa na mbaya)majini wao wanaweza kumsaidia mtu kwa mambo mengi,wengine hupewa utajiri usio na masharti magumu,wengine hupewa rupia zenye thamani kubwa,wanao uwezo wa kukuepusha na viumbe wanaotka kukudhuru sababu yeye anawaona kabla yako na mambo mengine mengi tyuu.Hivi hawa majin wanaosema ni wema kazi zao ni zipi, na msaada UPI wanao utoa kwa binadamu.
......wacha uongo wewe ! MUME WA JINI ............ ivunya huyu ni muongo !Kama nilivyotangulia kusema majini na binadamu sote ni viumbe wa mungu,Kazi tunazofanya wanadamu hata ujinini pia wanafanya,kuna mafundi bomba,umeme,madaraja,wasomi wakubwa,mapadre mashekh n.k pia kama tunavyosaidiana wanadamu katika shida,pia majini husaidia wanadamu na hata wanadamu wenye vipaji vyao huwasaidia majini wanapokuwa na shida(mara nyingi wanapofungwa kwa kuzidiwa nguvu na majini wenzao waliotumwa na mbaya)majini wao wanaweza kumsaidia mtu kwa mambo mengi,wengine hupewa utajiri usio na masharti magumu,wengine hupewa rupia zenye thamani kubwa,wanao uwezo wa kukuepusha na viumbe wanaotka kukudhuru sababu yeye anawaona kabla yako na mambo mengine mengi tyuu.
Asante, ila sipendi kujua sana kuhusu hawa viumbe, ni kati ya vitu ninavyo hisi ni chukizo mbele za Mungu kujiunganisha nayo.Hili ni la kweli!!cheki jina langu hapo juu na ukipenda kujua zaidi ni PM
Hivi hawa majin wanaosema ni wema kazi zao ni zipi, na msaada UPI wanao utoa kwa binadamu.
ivunya Majini yana ulimwengu wao ambao hakuna binaadamu yeyote amefika na ana ujuzi na ulimwengu wao, wao wanaishi kama sisi tunavyoishi katika ulimwengu wetu. na niviumbe walioumbwa kabla yetu sisi binaandamu.'Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unao tokana na matope yaliyotiwa sura.
'Na Majini tuliyaumba 'kabla' (ya binaadamu kuumbwa) kwa moto wa upepo umoto (gas !)
Qur'an: 15:26-27
'(Mwenyezi Mungu) Amemuumba mtu kwa udongo wa kinamo.
'Na akawaumba Majini kwa ulimi wa moto (gas).
Qur'an:55: 14-15.
'Hakika katika sisi (Majini) wamo walio wema na wengineo wetu ni kinyume na hivyo (wabaya). Tumekuwa njia mbali mbali (waovu na wema)
'Na hakika wamo katika sisi (Majini) Waislaam na wamo kati yetu wanao acha haki (Makafiri). Basi walio silimu (Waislaam), hao ndio waliotafuta uwongofu.
'Na ama wanao acha haki (Makafiri), hao watakuwa kuni za Moto Jehanam
Qur'an:72:13-15
'Nami (Mwenyezi Mungu) sikuwaumba Majini na Watu ila waniabudu Mimi.
Qur'an: 51:56
........umeleta uganga wako JF !??Hili ni la kweli!!cheki jina langu hapo juu na ukipenda kujua zaidi ni PM
soma post yangu *214Asante, ila sipendi kujua sana kuhusu hawa viumbe, ni kati ya vitu ninavyo hisi ni chukizo mbele za Mungu kujiunganisha nayo.
........stori za mtaani tu hizo !Je binadamu anaweza kuzaa na majini?
......... ni uongo tu huo (excuses !)Watu wanagombanishwa na majini
.....ohooo ! kumbe Mganga ! ..ndo maana una unga unga !Naam kiongozi majini ni viumbe kama tulivyo sisi binadamu,ndani yake kuna wema na waovuhii ni kwa mujibu wa kauli ya Mwenyez Mungu Mtukufu... KAMA TULIVYO BINADAMU KUNA WAISLAM WEMA NA KUNA WAKRISTO WEMA PIA KUNA WAISLAM WAOVU NA PIA KUNA WAKRISTO WAOVU ndani koo za majini
kuna Wakristo,Waislamu,Mayahudi,Wapagani,Mabudha n.k.wapo mfano mzuri siku moja alinijia mgonjwa anayesumbuliwa na majini nilimweka chini nikamuita yule jini ambaye alidai anaitwa peter baada ya mazungumzo akakubali kuacha kuwasumbua wanadamu na akatoka mule mwilini mwa mtu.
poa, poa.soma post yangu *214