Aina za majini na kazi zake

Aina za majini na kazi zake

Mkuu history ya jinn inaenda beyond Islam hadi kipindi cha tradition Arabs inavuka kidogo hadi kwa walmenia.
Huku ndio utakuwa facts na origin ya neno jini kabla halijawa defined kW mifumo ya kiimani.
Archeological na historical evidence zinaonyesha neno jini au origin yake ni wakristo walikuwa wanalitumia kumaanisha pepo wachafu na miungu ulivyokuwa inaabudiwa na kumilikiwa na Waarabu wachache na waalmenia. Hii ilikuwa miaka mingi kabla ya kuanza kutumika katika mifumo ya kiimani.
Ask history has answer of all your problems.

Kitabu cha imani kinamtambua ibris kama jini muasi wala sio malaika wakati bibilia na history before kitabu cha imani vinaonyesha shetani au ibris ni malaika muasi. Hakuna third-party inaoyitwa jinn,

Kaa utulie ujifunze kwa unyenyekevu.
Mungu hakuumba Shetani na malaika wachafu, Mungu aliumba Lucifer na Maraika wasafi. Lucifer alipoasi pamoja na waliomuunga mkono wote ndio hawa mashetani wanaojitambulisha kwa majina mbalimbali.
Wote hawa wamewekwa akiba kwa ajili ya Moto Wa milele.

Karibu tupeane changamoto based on facts sio misisimko. Hakuna mahindi katika hili maana ukiamini ni kuchagua
Kwa akili yake finyu mwanzoni kabisa aliikandia hii mada sasa kapata elimu ya bure ambayo kama si hili bandiko angepata shida mno kuipata
 
Mungu
Mkuu history ya jinn inaenda beyond Islam hadi kipindi cha tradition Arabs inavuka kidogo hadi kwa walmenia.
Huku ndio utakuwa facts na origin ya neno jini kabla halijawa defined kW mifumo ya kiimani.
Archeological na historical evidence zinaonyesha neno jini au origin yake ni wakristo walikuwa wanalitumia kumaanisha pepo wachafu na miungu ulivyokuwa inaabudiwa na kumilikiwa na Waarabu wachache na waalmenia. Hii ilikuwa miaka mingi kabla ya kuanza kutumika katika mifumo ya kiimani.
Ask history has answer of all your problems.

Kitabu cha imani kinamtambua ibris kama jini muasi wala sio malaika wakati bibilia na history before kitabu cha imani vinaonyesha shetani au ibris ni malaika muasi. Hakuna third-party inaoyitwa jinn,

Kaa utulie ujifunze kwa unyenyekevu.
Mungu hakuumba Shetani na malaika wachafu, Mungu aliumba Lucifer na Maraika wasafi. Lucifer alipoasi pamoja na waliomuunga mkono wote ndio hawa mashetani wanaojitambulisha kwa majina mbalimbali.
Wote hawa wamewekwa akiba kwa ajili ya Moto Wa milele.

Karibu tupeane changamoto based on facts sio misisimko. Hakuna mshindi katika hili maana kuamini ni kuchagua
Mungu hakuumba malaika wachafu na mashetani ! Je, hao wameumbwa na mungu yupi ?!
 
Hakuna haja tena ya kutoa tafsiri ya majini kwakuwa tayari tumeshalidajili hili kwenye post iliyopita kwamba majini ni viumbe roho waliofukuzwa toka mbinguni na kutupwa ulimwengu wa giza.

Mada hii ni maalum kwa ajili ya kutambua aina za majini na kazi zake
Kuna wakati katika jamii unaweza kumshangaa mtu au hata kugombana naye kutokana na tabia zake na mambo yake huyu si wa kulaumu sana saa nyingine si yeye bali ni jini, hata hapa JF tunao wengi tuu.

Kimsimgi wapo majini tofauti tofauti zaidi ya 60 lakini kazi zao kwa sehemu kubwa zinaingiliana hivyo nitaweka baadhi tu ambayo kwa kiasi kikubwa ndio hubeba mambo mengi fuatana nami.

1. SUBIANI - hili ni jini linalosababisha ajali na lenye kuzuia hedhi kwa mwanamke, lina penda sana damu hasa hiyo ya hedhi.

View attachment 342303

2.MURAFARI- hili ni jini la kuzuia mafanikio ya kimaisha kielimu na hata kipato, ukitupiwa hili jini utahangaika sana na maisha.

3.LATIFU- jini la mateso ufukara na matumizi ya hovyo unakuwa ni mtumwa wa kupata kupoteza na kutumia bila tija.

4.JAHARI-jini jizi la biashara, unafanya Sana biashara lakini huoni ustawi wala mafanikio yoyote.

View attachment 342305

5.HASINANI- Jini la fujo ulevi wa kila aina bhangi sigara madawa pombe nk

6.JUBE- Jini la utasa, hili unaweza kutupiwa tu na mbaya wako au ukiwa mtoa mimba au mpiga puchu mahiri.

7.RUYATI- ndoto mbaya, ukiacha ndoto maono au ndoto ujumbe , hizi ndoto za kutisha husababishwa na jini ruyati.

8.TAJARUNI-hili ni la utajiri wa masharti ya kutoa kafara la ndugu na kufanya ngono na mzazi au mwanao.

9. WAIDADAT- jini linalomfanya mwanaume aige mambo yote ya kike kuanzia tabia mpaka mavazi.

View attachment 342307

10. ALIBADIRI- Ukitupiwa hili kwa sababu yoyote ile hasa kutenda uovu huponi.

11.ANZURA -kuzuia ndoa hasa kwa wanawake, utakuta binti mzuri kakamilika kila idara lakini anaishia kuposwa tuu.

12.MAIMUNA- jini mfarakano wa kuleta magomvi kwenye ndoa hatimaye kuvunjika.

13 . MAKATA- Jini makata ni noma hili likiingia kwenye familia au ukoo basi vifo vitafululiza mpaka mbaki wachache kabisa.

View attachment 342306

14.TARIK- jini hili hufarakanisha marafiki watu wanaofanya biashara pamoja kwenye vyama nk nk..likishaingia mahali hili lazima kinuke.

15. JINI WIVU KIJICHO NA ROHO YA KWANINI-hili bwana hili popote litakapoona new post ni mtu fulani sikilizia mashambulizi yatakayofuata.

[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Katika mambo yote hayo hakuna jini lolote linalofaidika na chochote bali kumletea shida mwanadamu ili afarakane na mola wake
Kumbuka kuna majini ya kutupiwa kutumwa na yale yanayofanya kazi yenyewe kwa utashi wao.

==========================
NB: Picha zimewekwa ili kuleta uhalisia zaidi ingwa zinaweza zilihusiane moja kwa moja na Majina ya viumbe hawa.
Hiyo picha ya mwisho inatisha mkuu.
 
Kumbe waislamu wachawi na wana mahusiano na majini.... Si huwa nasikia wanasomea mtu Albadili kumbe ni jini.... Hahahaaaaaa. Rudini kwa Yesu upesi maana hayo majini yote hukimbia yanaposikia jina la Yesu.
 
Wale walio mpa kipondo pale msalabani hakuwatajia jina lake !?
 
Kwa akili yake finyu mwanzoni kabisa aliikandia hii mada sasa kapata elimu ya bure ambayo kama si hili bandiko angepata shida mno kuipata
Elimu au upumbavu !? ....wewe unao hii mada ya kipuuzi ndo unaelimisha watu ? Jini wewe uliwahi kukutama nalo wapi !?
 
18befceeff10d0bad471a2f7d9271222.jpg
 
Kwa hiyo kuisoma albadili ni kulipunga hilo jini albadili kwa maana ya kulituma kwenda huko wanakolituma? kama ndivyo huyo ni mungu wao Alla au shetani?
Hiyo albadir yenyewe ni katika ushirikina

Hakuna mahali mtume wao kawafundisha kusoma albadir
 
AHL-BADRI;

sio JINI.... ni kisomo cha kumpa mashitaka/malalamiko Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa Imani ya Kiislamu!!

neno "Ahl-Badri" maana yake ni watu wa Badri au watu waliopigana VITA YA BADRI katika historia Uislamu!!

Hiki kisomo kama ukisikia kinasomwa au kama ukikiona kitabu chake basi hua kinataja MAJINA YA WATU WOTE WALIOSHIRIKI VITA YA BADRI!!

mtu anaposema Alibadir basi ana maanisha ni kisomo tu na sizani kama kina mahusiano na majini!! ni kama maombi ya mtu aliyedhulumiwa... kama wewe unayesoma iki kisomo kumkusudia mtu ambaye hana hatia huwa inakudhuru wewe mwenyewe...

Ingekua Alibadiri ni jini basi nahisi wengi tungekufa au kuwa vichaa... maana ingekua ni kama aina flani ya ushirikina tuliouzoea mtu anakudhuru kwa husda zake tu!!

kama nimekosea au nimewakwaza watu basi naomba mnisamehe!!

#Peace
Ni upuuzi unaofanywa na washirikina muislam mshika dini hawezi kukaaa kusoma albadir
 
Mkuu majina ya Watu hayahusiani ni Imani yeyeto.Majina ni ya Mashariki ya kati Na Ulaya.
Historia ya uchawi Na majinni imeandikwa katika nchi za mashariki ya kati Na Lugha zinazo tumika ni Kiarabu,kiajemi (kifarsi)Na kihibru(kiyahudi). Hayo majina ya majinni ya yameitwa kutokana Na lugha zao. Ukiandika kitabu kuhusu maajabu ya Rufiji majina ya Kindengereko yatakuwemo.
Bora umemtoa kamasi za ubongo
 
Mkuu history ya jinn inaenda beyond Islam hadi kipindi cha tradition Arabs inavuka kidogo hadi kwa walmenia.
Huku ndio utakuwa facts na origin ya neno jini kabla halijawa defined kW mifumo ya kiimani.
Archeological na historical evidence zinaonyesha neno jini au origin yake ni wakristo walikuwa wanalitumia kumaanisha pepo wachafu na miungu ulivyokuwa inaabudiwa na kumilikiwa na Waarabu wachache na waalmenia. Hii ilikuwa miaka mingi kabla ya kuanza kutumika katika mifumo ya kiimani.
Ask history has answer of all your problems.

Kitabu cha imani kinamtambua ibris kama jini muasi wala sio malaika wakati bibilia na history before kitabu cha imani vinaonyesha shetani au ibris ni malaika muasi. Hakuna third-party inaoyitwa jinn,

Kaa utulie ujifunze kwa unyenyekevu.
Mungu hakuumba Shetani na malaika wachafu, Mungu aliumba Lucifer na Maraika wasafi. Lucifer alipoasi pamoja na waliomuunga mkono wote ndio hawa mashetani wanaojitambulisha kwa majina mbalimbali.
Wote hawa wamewekwa akiba kwa ajili ya Moto Wa milele.

Karibu tupeane changamoto based on facts sio misisimko. Hakuna mshindi katika hili maana kuamini ni kuchagua
umeulizwa walijiumba au wameumbwa?..unaleta story zisizo na mashiko
 
historia inadai binadam wa kwanza alikua nyani..vipi unaamin kweli babu zako walikua nyani?
 
Jinn ni kiarabu kwa kingereza anaitwaje
Hapana bado nataka kupingana na wewe hasa kuhusu roho...hata hao wanasayansi waliobobea wameshindwa kabisa ku capture kitu kinachoitwa Roho
Pili si kweli kabisa kuwa wazungu hawaamini na kuabudu ushirikina majini mapepo n the like, wenzetu kule wana mpaka vyuo maalum vinavyotambulika wana projects nyingi sana wana sinema wana mabandiko na vitabu vingi sana kuhusu haya mambo
Soma kuhusu
-The Blair witch project
-The haunted houses
-Ghosts n souls
Hii ni mifano michache mno ya kuonyesha ushiriki wa wazungu kwenye dunia ya kiza na ndio hawa pekeyao walioweza kuigiza kwa usahihi zaidi kwenye picha zao
 
historia inadai binadam wa kwanza alikua nyani..vipi unaamin kweli babu zako walikua nyani?
Hapo unafeli,
Nimesema according to archeological and historical evidences. Hizo za mtu kuwa nyani wanafundishwa waafrika wachache, lkn theories of evolution za wakina Darwin na wenzake za mtu kuwa nyani au nyoka kuwa na miguu au twiga kuwa mfupi hivyo vyote having evidence na debetable hadimkesho kwanza zimeshakuwa proven wrong na new theories kibao na creationist.

Hiki ninachokuambia ni factbased maana historia ya middle East can be traced back with evidences hadi miaka zaidi ya mitaani kabla ya yasu, hii tunazungumzia miaka michache AD, kipindi ambapo maandishi na vitu vingi vilikuwepo. Mfano hotel moja ipo Japan hadi Leo ipo na unafanya kazi wakati ilijengwa miaka michache tu bàada ya kuanzisha kwa Islam.
Mbona mambo mepesi unataka kutumia nguvu kutetea usivyovielewa.
 
umeulizwa walijiumba au wameumbwa?..unaleta story zisizo na mashiko
Unatoa majibu mepesi.
Narudia,Mungu aliumba maraika wasafi, wachache wakiongozwa na Shetani waliasi ndio hawa mashetani weñgi wao wanatetewa humu maana sifa yao kubwa ni uongo na wamefanikiwa kuwarubuni weñgi. Hakuna third part inayoitwa Jinn.
Narudia kuna binadamu,Maraika na Maraika waasi yaani Mashetani/majinn/mapepo/roho wachafu/ na properties zao zinafanana kila mmoja kwa kundi lake.

Ukielewa waelimishe na wenzako
 
Mungu

Mungu hakuumba malaika wachafu na mashetani ! Je, hao wameumbwa na mungu yupi ?!
Tulia mkuu usisome kizembe. Mbona hayo maelezo hata mtoto Wa darasa LA pili atakushangaa kurudi kuulizauliza wakati jibu unalo.
Narudia:Hakuna kiumbe wala kitu kinachoweza kujiumba, sifa ambayo hata huyo jini au shetani hana ni uwezo Wa kuumba kitu. Mungu ni Muumba Wa kila kitu. Ila Lucifer alihasi akafurushwa na wenzake waliomuunga mkono Leo ndio shetani na majini wanaowaaminisha watu kua wapowasafi. Ila ukweli yote ni mashetwain.

Mfano upotofu mwingine Wajenzi Huru\freemason wanamuabudu shetani kama Lucifer wanadai alionewa hakupaswa kufukuzwa na aliyemfitini wao wanamuita Adonai sisi tunamuita Yesu. Huu ni muendelezo Wa udanganyifu Ila huku ni dimension nyingine ya upotovu.
 
Unatoa majibu mepesi.
Narudia,Mungu aliumba maraika wasafi, wachache wakiongozwa na Shetani waliasi ndio hawa mashetani weñgi wao wanatetewa humu maana sifa yao kubwa ni uongo na wamefanikiwa kuwarubuni weñgi. Hakuna third part inayoitwa Jinn.
Narudia kuna binadamu,Maraika na Maraika waasi yaani Mashetani/majinn/mapepo/roho wachafu/ na properties zao zinafanana kila mmoja kwa kundi lake.

Ukielewa waelimishe na wenzako
nimesema huko nyuma,malaika hawana hiyari na amri ya mungu,wakiambiwa wanafanya hawawez kuasi,wenye hiyari ni binadam na majinni,ibilisi ni jinni,mungu alipotaka binaadam asujudiwe baada ya kumuumba,ibilisi akagoma kwa kujiona bora kulko binaadam,kisa yeye kaumbwa kwa moto na adam kaumbwa kwa udongo mweusi uliovunda,mungu akamkasirikia akamlaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom