Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,632
- 860,801
- Thread starter
- #121
Hapana bado nataka kupingana na wewe hasa kuhusu roho...hata hao wanasayansi waliobobea wameshindwa kabisa ku capture kitu kinachoitwa RohoUkweli utabaki pale pale ,hakuna binadamu yeyote duniani anaeweza kum ~isolate na kum ~visualize jini au mapepo hata wewe huwezi kamwe.Roho ni fikra kusadikika au mawazo huwezi kwenda maabara yeyote ukatoa roho na kuonyesha.Vivyo hivyo huwezi kwenda maabara ukalitoa jini au mapepo na ukaonesha kwa macho au kwa darubini kali (electronic microscopy.) Roho au majini ni imani tena imani inayokaa kama attitude (Fixed false indies ) Hewa kama oxygen na hydrogen huwezi kuziona kwa macho lakini ukienda maabara utazibaini na ukiziunganisha pamoja unapata maji papo hapo na utayaona kwa macho na ukitaka unayanywa.Wanasayansi waliobobea kama Wamarekani hawaishi kwa imani ya majini kwa sababu vitu hivyo havipo " physically na spiritually."Lakini watu kama Waarabu kwa kiwango kikubwa wanaamini mambo ya majini kwa sababu ya elimu ndogo juu ya sayansi kwa ujumla.
Pili si kweli kabisa kuwa wazungu hawaamini na kuabudu ushirikina majini mapepo n the like, wenzetu kule wana mpaka vyuo maalum vinavyotambulika wana projects nyingi sana wana sinema wana mabandiko na vitabu vingi sana kuhusu haya mambo
Soma kuhusu
-The Blair witch project
-The haunted houses
-Ghosts n souls
Hii ni mifano michache mno ya kuonyesha ushiriki wa wazungu kwenye dunia ya kiza na ndio hawa pekeyao walioweza kuigiza kwa usahihi zaidi kwenye picha zao