Aina za majini na kazi zake

Aina za majini na kazi zake

Na huyo mahaba ndio niaje, mwaga sumu

Na Kuna utaalamu wa kura maarufu sana kama kura za maruhani, mwaga sumu hapa pia kuhusiana na hii kitu
 
Na huyo mahaba ndio niaje, mwaga sumu

Na Kuna utaalamu wa kura maarufu sana kama kura za maruhani, mwaga sumu hapa pia kuhusiana na hii kitu
Mdogomdogo kila kitu kitajulikana hapa hapa
 
Kiukweli haya madudu yanatesa wengi hasa hili jini mahaba hili n Nouma kweli na hilo la vinywaji vya moto nalo n hatari pia,
 
Asante kwa kutujuza.
Basi utusaidie njia sahihi endapo mmoja wetu ataingiliwa na jini mmojawapo afanyeje ili jini aweze kuondoka ktk miili yetu, mahali pa kaz zetu au ndani ya koo zetu? mshana jr
 
zipi ni njia za kuya deactivate
Baadhi ya wasomaji wa uzi ambao hawajapatwa na janga hili wanaweza wasiamini unachokieleza hapa. Lakini kifupi kama wanaamini Mungu yupo basi waamini ushetani upo. Wapo watu wengi wanapata mateso na majini haya na mengi yao ni yakutupiwa. Sasa ebu tuambie njia zipi za mtu aliyetupiwa majini anaweza kujitoa na kuwa huru?
 
AL BADIRI NI JINI? Mbona kuna kisomo kinaitwa Al badiri husomewa wezi wanaoiba au hata kama mmezuishana mambo makubwa inasomwa hiyo albadiri na aliemuongo ndio inamshika na kumdhuru aidha kwa kufa au kuwa kichaa...hebu nifafanulie.
 
Ni mule mule kwakuwa ile nguvu ya kisomo hutokana na majini
Nb; kuna kisomo cha albadili/albadiri na kuna jini la albadiri ambalo hilo huua moja kwa moja lakini kisomo cha albadiri si lazima ufe unaweza kuchanganyikiwa na kuwa chizi au kichaa
 
Kuna Mengine Huwa nayasikia sana makanisani 12.. na 13
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom