mtumbatumtindiga
Member
- Apr 23, 2016
- 18
- 10
Kwa hiyo kuisoma albadili ni kulipunga hilo jini albadili kwa maana ya kulituma kwenda huko wanakolituma? kama ndivyo huyo ni mungu wao Alla au shetani?Ni mule mule kwakuwa ile nguvu ya kisomo hutokana na majini
Nb; kuna kisomo cha albadili/albadiri na kuna jini la albadiri ambalo hilo huua moja kwa moja lakini kisomo cha albadiri si lazima ufe unaweza kuchanganyikiwa na kuwa chizi au kichaa