Aina ya watu na vitu vinavyoudhi zaidi maofisini!!

Aina ya watu na vitu vinavyoudhi zaidi maofisini!!

Tabia ya mke / mume wa boss kuja hovyo hovyo ofisini pasi na sababu!!!
 
kwa kuwa yeye ni boss wako, basi anaanza kukutuma kazi zisizoendana na position yako mfano:
= kaninunulie vocha
= kaniitie tax
= kaniwekee pesa pale mpesa
= kanichukulie koti kwenye gari
= na blah blah nyinginezo
 
Mkuu acha uchoyo.
Siyo uchoyo mkuu Mjuni ila ni tabia mbaya we kuanzia tarehe moja hadi thelathini mtu hanunui vitafunio anaomba kwa watu tu hy haijakaa sawa jamani. Anaomba vitafunio hadi vya wajawazito!!!!! Wenyewe wananuna lakini haelewi.
 
Siyo uchoyo mkuu Mjuni ila ni tabia mbaya we kuanzia tarehe moja hadi thelathini mtu hanunui vitafunio anaomba kwa watu tu hy haijakaa sawa jamani. Anaomba vitafunio hadi vya wajawazito!!!!! Wenyewe wananuna lakini haelewi.
Duu!!, basi huyo jamaa naye kazidi, hata kama ni ujamaa siyo hivyo.
 
13. kucheza dili afu umeplay part kubwa afu mgao uwe sawa.. ukimpa pungufu anakuchoma kwa bosi.... ila suluhisho lao nilishapata ni kama unapiga milion moja nawambia laki tano .... na akichonga kwa bosi najifanya sielewi kitu kabisa....

kwa mchagga ndio zao
 
Inakera supervisor anakupa kazi anayojua itachukua lets say 2 hours na hapo ni saa kumi na nusu na mda wa kutoka ni saa 11,wakati alikuwa nayo the whole day inaremba tu meza yake...bad enough ye anasepa hyo 11 akikusisitizia dogo mek sure unamalizia hyo before you leave.....hakyanani unaweza kufa kwa hasira...
 
Daa!! hapo kwenye Vikao....huyu bosi wetu anavipenda kama nini cjui....au ndo ile usiombe mwanamke akawa bosi wako
 
Halafu anawahi huyo kama anaishi ofisini. mpk wengine tunaonekana wachelewaji....
 
Kujifanya kila kitu unakosoa wenzio afu ww ukikosolewa unanuna
 
Ulishawahi kutana na watu wasio na adabu? Unambeba, anaona ni haki yake, anataka aanze kukuendesha kabisaaa.
Mie huwa nawatema haraka mno. Kuna watu wazima wawili waliwahi nifanyia kitu, sitasahau, ila ndio nilikuwa nimeanza kazi.

Hee mzee kongosho yamekuwa hayo vp mzee mwenzangu waangusha yanguoni hvhv? Yamekukuta nini?
 
Back
Top Bottom