Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,184
- 7,381
Mimi sipendi mtu anakuja ofisini na kupiga nyimbo za kina Flora Mbasha au za msanii yeyote yule wa dini. I really hate that. Dini ni imani ya mtu, why advertise it?
Asante, Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
Kugongea vitumbua,mandazi na chai za wenzako ofisini,kununua hutaki
Kwa hiyo EPA,RADAR, AKAUNTI ya ESCROW, vyote ni sawa tu ?
Na walioiba hizo fwedha tuwite mashujaa!!
13. kucheza dili afu umeplay part kubwa afu mgao uwe sawa.. ukimpa pungufu anakuchoma kwa bosi.... ila suluhisho lao nilishapata ni kama unapiga milion moja nawambia laki tano .... na akichonga kwa bosi najifanya sielewi kitu kabisa....
Mie Msopakyindi wa JF!samahani, we ni masopakyindi mwalimu au?
You are just a common criminal, hata kama umeenda shule, ni mwisi tu!Kidumu kwa nyie mnaopoteza mda na mambo ya siasa badala ya kutafuta hela... mimi sina mda wa kupigia debe watu wale nitakuwa famba
I see charii yangu usiniletee upimbi kwenye masuala ya shilingi..13. kucheza dili afu umeplay part kubwa afu mgao uwe sawa.. ukimpa pungufu anakuchoma kwa bosi.... ila suluhisho lao nilishapata ni kama unapiga milion moja nawambia laki tano .... na akichonga kwa bosi najifanya sielewi kitu kabisa....
Mkuu acha uchoyo.Aisee hy siipendi unakuta mtu hanunui vitafunio anapita kila meza anaomba halafu kila siku ndiyo tabia yake. Ofisini kwetu yupo huyo tena mtu mzima hana hata aibu.
U are really a chagga hahahahaha i hate dat thing too. kuna mtu anafanywa kuambiwa tu lakini mwisho wa siku pasu pasu na likitoke la kutokea yeye hayupo
I see charii yangu usiniletee upimbi kwenye masuala ya shilingi..
You are just a common criminal, hata kama umeenda shule, ni mwisi tu!
Aisee hy siipendi unakuta mtu hanunui vitafunio anapita kila meza anaomba halafu kila siku ndiyo tabia yake. Ofisini kwetu yupo huyo tena mtu mzima hana hata aibu.
Dawa ndogo, unagawana naye, dili lijalo unamtema mbaya, mamaee zao.