Aina ya watu na vitu vinavyoudhi zaidi maofisini!!

Aina ya watu na vitu vinavyoudhi zaidi maofisini!!

phil_kabuje

Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
67
Reaction score
73
From Kumimuhimu.blogspot.com

1.Kuongea na simu kwa sauti kubwa, mpaka kila mtu anajua unaongea nini na nani

2.Kula vyakula vyenye harufu kali ofisini, pengine kwa mazoea au pengine wewe unamamlaka makubwa hapo ofisini

3. Mtu ana miaka mitatu kazini na hawezi kufanya kazi zake mwenyewe. Mbaya zaidi wakubwa wanajua na hawachukui hatua yoyote.

4. Kuzungumzia siasa au dini ofisini wakati ofisi haifungamani na siasa wala dini yoyote.

5. Wafanyakazi ambao muda wote wamechanganyikiwa au wanalalamika muda wote. Inaudhi kufanya kazi na watu wa namna hii

6.Kubonyeza Keyboard kwa nguvu au kupiga kelele ofisini

7. Vikao visivyoisha.

8. Ndugu wa bosi kuwadharau wafanyakazi wengine au kujipa mamlaka na kutaka heshima eti tu kwa kuwa yeye ni mtu wa karibu wa bosi

9 Kuja na watoto ofisini

10. Watu wenye Majungu. Wengine hushinda kwenye dawati la mfanyakazi mwenzie akipiga soga na kusahau kazi yake.

Source Kumimuhimu.blogspot.com
 
13. kucheza dili afu umeplay part kubwa afu mgao uwe sawa.. ukimpa pungufu anakuchoma kwa bosi.... ila suluhisho lao nilishapata ni kama unapiga milion moja nawambia laki tano .... na akichonga kwa bosi najifanya sielewi kitu kabisa....
 
Dawa ndogo, unagawana naye, dili lijalo unamtema mbaya, mamaee zao.

13. kucheza dili afu umeplay part kubwa afu mgao uwe sawa.. ukimpa pungufu anakuchoma kwa bosi.... ila suluhisho lao nilishapata ni kama unapiga milion moja nawambia laki tano .... na akichonga kwa bosi najifanya sielewi kitu kabisa....
 
secretary kukubali kirahisi kuwa mchepuko wa boss huku akiwabania wafanyakazi wenzie
Nahisi secretary kwa bosi anajigonga hata kama amechoka hakitumwa hakatai kwenda..."NAEEEENDA" (katika sauti ya kubana pua)
Na salamu zao za siku hizi ni nusu ya denda...
Je akiambiwa twende hatoenda... "aaaa wapi" (sauti ya msela)

Nahisi vitu vingi vingi vingi vingi vingi vingine... sivisemi hadharani
 
Back
Top Bottom