Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
Ha ha ha ha, aisee. Umenichekesha.
Kugongea vitumbua,mandazi na chai za wenzako ofisini,kununua hutaki
Kugongea vitumbua,mandazi na chai za wenzako ofisini,kununua hutaki
ha ....Kugongea vitumbua,mandazi na chai za wenzako ofisini,kununua hutaki
Kugongea vitumbua,mandazi na chai za wenzako ofisini,kununua hutaki
hebu nikumbushe na mimiha ha ha dah umenikumbusha!!
13. kucheza dili afu umeplay part kubwa afu mgao uwe sawa.. ukimpa pungufu anakuchoma kwa bosi.... ila suluhisho lao nilishapata ni kama unapiga milion moja nawambia laki tano .... na akichonga kwa bosi najifanya sielewi kitu kabisa....
Kugongea vitumbua,mandazi na chai za wenzako ofisini,kununua hutaki
Mkuu suluhisho la hii,ni kumtonya mtoa mpunga aelewe uzito na impact ya kila team member,akupe 2m mbili yako,then ye ndo awapatie wengine kwa wakati wao,af mpige mkwara asitaje kiwango cha yeyote.
Tunalalamikia ufisadi wa wakubwa wakati ule wa wadogo upo!13. kucheza dili afu umeplay part kubwa afu mgao uwe sawa.. ukimpa pungufu anakuchoma kwa bosi.... ila suluhisho lao nilishapata ni kama unapiga milion moja nawambia laki tano .... na akichonga kwa bosi najifanya sielewi kitu kabisa....