Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,370
halafu unakuta we unaponunua unaangalia yanayokutosha,mfano ukiwa na vitumbua 3 au 4 ndo unajiona upo fresh,akichukua moja hapo anakuonea kabisaWanakera haooo, utadhani hawajui vinapouzwa, utasikia niongeze kidogo au mwingine anaingiza mkono kimya kimya. Nyambafuuuuuu