Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
Kuna watu wanajua kuulizia mishahara jamani, tarehe 18, mtu anauliza, hata mie huniboa kwa kweli.
Kutoroka toroka ofsn kila saa unadharura ila kuulizia mshahara kama umeingia wa kwanza ina maana sie wengine hatupati hizo dharura?