AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
- Thread starter
- #81
HAZOLE hapo utakua unakosea rafiki yangu... Acha woga bana! Kuoa/kuolewa kuna umuhimu wake sana kwako. Si kwamba watu wote wapo hivyo... After all topic yangu inatoa tu picha ya vile vigezo ambavyo huwa mnatumia kutongoza... 🙂ashadii leo umenifanya nifikirie kutokuja kuoa maishani. nitazaa tu na kuishi peke yangu na wanangu . ujinga kuishi na mijitu inawaza ngono na myepesi kutongozwa na haiwazi maendeleo.
Last edited by a moderator:
reply with quote