Izz
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 750
- 322
Izz bana... hahaha!
Kutongoza mwaname ambae ndio mmefahamiana online kama kweli una niya ya kuwa katika mahusiano nae mda mrefu inahitaji a lot of guts, trust na muda mzuri wa kufahamiana offline ili wote mridhie kuwa mpo radhi kuwa pamoja.
Nina mada ya juu ya Utongozaji ambayo baadhi ya members walizungumzia kutongoza ni art.. Hapa nimemnukuu Rejao. Unaweza soma hapa kwa muda wako... "Kutongoza, Kukubaliwa ama Kukataliwa - What Gives?"
Kufahamiana kunaanzia hapa.....mkitoka nje ya hapa ni kuangalia baadhi ya vitu in practical kwa maana ya tabia ili utumbukize na mguu wa pili.
Nakubaliana na members wanaosema kutongoza ni art..... nitapitia baadae kwenye hicho "kiungo" hapo juu
Last edited by a moderator:
Reply With Quote