Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

wewe ndiyo unajichanganya na utachezewa ukome maana mara useme huwataki wanaume mara unanishauri nimeathilika kisaikolojia. jitambue

wewe una matatizo ya kisaikiolojia waitaji ushauri toka kwangu Mungu alipomuumba mwanadamu akasema nendeni mkaazane na kuiongeza nchi alikuwa amekosea na aliposema kwa adamu kuwa huyu ni ubavu wako nimekupa awe mkeo ili mkaiongeze nchi alikuwa amekosea kwanini unapinga kanuni ya Mungu hebu njoo nikusaidie kiakili naona umepungua kidogo
 
Thanks Mvaatai of your acknowledgement. I am humbled.

Roho imeniuma sana kwa niaba ya huyo dada (hasa kama age ilikuwa imeenda). I am curious Mvaa Tai. How did you pull it off?

Mie siku zote huwa nafikiria kua wanaume they can not fake kuwa katika mahusiano. Miaka miwili... Uliwezaje bila yeye kujua? Ni vitu gani ulikuwa wafanya asikushtukie kuwa huna nia nae na kuwa wamtumia? Ama alikuwa ni aina ya wale watu wamfanyia vituko na vijimambo vya hapa na pale lakini hajui?

Noo!! wanaume wanaweza sana ku-pretend inategemeana na anataka nini kutoka kwako, binafsi Kitu kilichotufanya tudumu kwa mda mrefu katika mahusiano ni kwamba yeye alikuwa yupo busy sana na mimi hali kadhalika hivyo tulikuwa tunakutana katika aidha business au starehe na advantage iliyokuwepo yeye alikuwa ana nyumba yake na mimi nilikuwa ninaishi kwangu, kwasababu alikuwa anaishi na wadogo wake hivyo alikuwa analala kwangu mara chache sana, mara nyingi alikuwa ananibana sana katika suala la kufunga ndoa, nasita kabisa kutoa mbinu nilizokuwa nazitumia kufanya Delaying ya kumuoa kwasababu hata mimi binafsi sizipendi siyo nzuri wakizitumia na watu wengine kwakweli, ofcourse hata yeye anaweza akawa member humu JF nikizitaja zitamfanya ajijue specifically kwamba ni yeye ninayemzungumzia, kiukweli kitu nilichomfanyia hata mimi huwa kinanikosesha amani kwakweli nashukuru Mungu nasikia ameolewa.
 
nina 3 kids tayari na nimeingia kwenye fani/tasnia ambayo nipo taiti na kazi ya kusaka pesa. sitaoa nitalea watoto tu mpaka mwisho wa dunia. pia ukishauri nioe sioni jipya zaidi ya kusumbuliwa na wanawake wajinga na wasiojua kusema hapana.

HAZOLE hapo utakua unakosea rafiki yangu... Acha woga bana! Kuoa/kuolewa kuna umuhimu wake sana kwako. Si kwamba watu wote wapo hivyo... After all topic yangu inatoa tu picha ya vile vigezo ambavyo huwa mnatumia kutongoza... 🙂
 
Wa ku beep

Huyu ni aina ya yule mwanaume ambae hayupo committed. Yeye siku zote anakuhitaji wewe siku akitaka kukutana kimwili. Yaani mara nyingi anacheza na hisia zako.. Anakuwa anakujua vema… Namna ya kukuweka sawa, namna ya kuahakikisha huna wasi wasi juu yake na namna ambavyo kukutana na wewe ni lazima siku ambayo anataka kufanya na wewe uone kawaida. Anaweza akawa hata na galfriend/mke huko but akawa na mwingine kwa ajili ya sex tu.
Dada yangu AshaDii nikipona hili tatizo nitamtolea bwana sadaka ya kuteketeza
 
Last edited by a moderator:
What if wote mnajuwa kuwa mko commited somewhere au mmojawapo yuko commited lakini mnakubaliana for the time being muwe wote na hii inaweza kulast mda mrefu hata zaidi ya mwaka...though hamtatamkiana kuwa tunazuga lkn mnajuwa kabisa hakuna any future expectations kati yenu si ndo mnazuga hapo? wewe wa kuzugia na yeye pia wa kuzugia..

EXACTLY
Mahusiano yeyote ambayo sio serious ndo ya kuzugia
au ambayo hakuna commitment
 
iv unaweza mpenda mtu kabla ya kumtaman? and how?
hernest naomba nisome upya hapo juu penye kupenda... Utakuta kuwa hii hutokea kwa mtu ambae wamfahamu but hukuwa na mpango wa kutongoza uko awali.

this msg touches me...single boy. i will die as single man with 3 kids.

Dah.... Hazole...

asante kwa somo Aunty. Nimeskia wanawake wanalalamika kua mwanaume "kawachezea". hawa wanaingia wapi? hahahahaha

Lol. Hii statement ya ajabu sana. Ile tu admittion ya kukubali kuwa umechezewa ni low self esteem kwa kweli... Kana kwamba you don't have your own mind and people think for you. Maybe kwenye kuzugia? 🙂
 
Last edited by a moderator:
Kuna baadhi ya wanawake yaani ukishaanza kuwasifia tu wanakuwa wepesi kupita maelezo.
Je hii inatokana na nini?

ugly-woman.jpg

Nilimsifia huyu kuwa ni mzuri, alivua skuna akanitoa mbio mbaya, hahahahaha
 
ulimkomesha mkuu. safi sanaaaaaaaaaaaaa...weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!

Noo!! wanaume wanaweza sana ku-pretend inategemeana na anataka nini kutoka kwako, binafsi Kitu kilichotufanya tudumu kwa mda mrefu katika mahusiano ni kwamba yeye alikuwa yupo busy sana na mimi hali kadhalika hivyo tulikuwa tunakutana katika aidha business au starehe na advantage iliyokuwepo yeye alikuwa ana nyumba yake na mimi nilikuwa ninaishi kwangu, kwasababu alikuwa anaishi na wadogo wake hivyo alikuwa analala kwangu mara chache sana, mara nyingi alikuwa ananibana sana katika suala la kufunga ndoa, nasita kabisa kutoa mbinu nilizokuwa nazitumia kufanya Delaying ya kumuoa kwasababu hata mimi binafsi sizipendi siyo nzuri wakizitumia na watu wengine kwakweli, ofcourse hata yeye anaweza akawa member humu JF nikizitaja zitamfanya ajijue specifically kwamba ni yeye ninayemzungumzia, kiukweli kitu nilichomfanyia hata mimi huwa kinanikosesha amani kwakweli nashukuru Mungu nasikia ameolewa.
 
mimi nahitaji kupooza ngunge tu. hata hivyo wanaooa naona wamepungua, wengi wanataka mahusiano tu na vilevile wanatemana na kutafuta mwingine lengo likiwa hilohilo mahusiano. mia
 
Lol! You have a right to SUFH! Hiyo ilipaswa nitumie kama mfano. Haina maana kuwa wanaume wote ambao wana demu wa kuzugia ni gay.

'Ilipaswa' is the operative word there. Lakini hukufanya hivyo. Umeandika authoritatively na definitively Asha.
 
Sasa sijui hiyo dhana ya 'kuzugia' inawahusu wanaume tu au la! Maana hata mwanamke anaweza akawa na mwanamme wa 'kuzugia' ila sijui kama na yeye atahesabika kuwa anaficha sexual orientation yake ya u-lesbian. Kaaz kwer kwer!

Kuzugia haihusiani na sexual orientation
ni any relatuonship ambayo ipo for good times only
no commitment wala promises
 
mimi kazi yangu kuwasomesha na kuwaleo. u dotcom wao kivyao.
kuoa/kuolewa ni uamuzi na ukiwa mtumwa wa ndoa ni utegemezi wa kihisia

good for you for now........
urudi kutupasha utakavyojisikia siku hao 3 kids watakapopata soul mates........
 
Back
Top Bottom