Aina ya vitambi

Kitambi mchuchumia hicho.....
 
Namshukuru sana Muumba mimi hata ile dalili ya kitambi sina.

Sina cha nyongeza zaidi ya kushukuru
 
Mungu ana upendeleo HARUFU
Kiongozi wewe mtu wa Dini bwana, usiniangushe.

Mungu hawezi kuwa na upendeleo.

Vitambi vingi ni vya kujitakia, kupenda penda kula hovyo, kutozingatia mazoezi.

Na kuna mijitu mingine huwa inapenda vitambi sijui kwanini!

Jitu lingine halina hata kitambi, ila litajilazimisha kuchomekea hadi tumboni alimradi tu na lenyewe lionekane lina kitambi
 
Aisee Umeongea kweli tupu reply yangu ilikuwa kuchagiza tuu
 

Hapo umewagusa watu..na beer sasa,
 
Visista du vinapeeenda vitambi... eti vinachezea chezea vikiwa sehemu sehemu...
 
Mi changu hukukiweka... kimeshuka hadi kiko katikati ya miguu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…