Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

Kw mtazamo wng me huwa nahc humu Jf watu wanafanya jokes zaidi ili kuchangamsha kijiwe, maana kuna story na comments ngumu ambazo ukizitafakari nying hazina uhalisia...so niwaombe tuchukuliane wadau!
 


Hamna haja ya kuwapa pole....wababaishaji hawatakiwi kuonewa haibu wala kupewa pole hata kidogo. Hawa ndio walikuwa wanashindana kuiba mali za umma serikalini na kuwa na vimada lukuki kila kona ya nchi. Waende tu kunyea pipa/ndoo.
 


Haya ni maoni yako na mimi nimekuelewa, ila natafuta kujua thima yako nzima ya kuandika haya, una maanisha wanakusogeleaga au? yani una nini mpaka unawaambia wakae mbali na wewe, nyie ndio mnaojiangalia kwenye kioo na kujiona wa maana kumbe hakuna kitu.
 
mwanaume mwenye kifua utadhani mtoto wa drs la 5 akae mbali namimi
mwanaume mweupee akae mbali na mm
mwanaume mwenye kitambi akae mbali namimi
mwanaume asie flat nyuma akae mbali namimi
mwanaume asie na akili ya kutafuta pesa akae mbali namimi
 
Hahah
 
Kwahiyo hio ni precaution sio ??

Sawa

Mimi na Smart911 wangu tu
Alipo nipo
Wewe mahondaw wangu... Mungu amaekupendelea kitu kitu/Kila kona... Macho, sura, lips, kifua, kiuno, hips, nyuma ndiyo amazing... And you have a very sweet and soft touch... Macho ndiyo daaah.... Na naniliuu... Woyooooo

Am lucky to have you...
 
Inasikitisha sana unapojifanya una machaguo wakati hata kuumba hujui. Mapenzi yanajumuisha vitu vingi na sio maumbile pekee.

Hivyo pole kwa kuchelewa kulijua hilo.
Kwenye sifa alizozitaja kuwa hazipendi we unayo ipi? [emoji3] [emoji3]
 
Unadhani mkeo akizaa titi hazitaning'inia?
 
Haya bwana na skirini mbinuko senu,sisi vigezo ni tabia mengine mbwembwe tu,kuna Ukweli unaosema ukitaka kujua ukubwa w shimo cheki kifusi
 
Kwangu mapenzi nyanaanza na maumbile na maumbile ndio kigezo kikuu, hayo mengine ni yako. Usitake mimi nifanye unachokiwaza wewe, kila mtu ana upendeleo wake kwenye mambo yake.
Ingekuwa unataka ukifanye hicho unachowaza usingeleta hili gazeti humu jf ungebaki nalo huko huko.

Kwa kuwa umeyaleta huku kuwa tayari kwa kila aina ya jibu.
 
Ingekuwa unataka ukifanye hicho unachowaza usingeleta hili gazeti humu jf ungebaki nalo huko huko.

Kwa kuwa umeyaleta huku kuwa tayari kwa kila aina ya jibu.
Mwache anajifanya kichaa mbele ya geti la mirembe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…