Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

Halafu wewe hujui. Wale flat screen ni 'wachacharikaji' wazuri kwenye 6 x 6. Na single mums walidanganywa na wanaume kama wewe halafu wakaachwa solemba. Unaposema hutaki 'short chasis' unamtukana Mungu. Hakuna binadamu yeyote aliyechagua kuzaliwa mrefu au mfupi. Na unaposema namna hiyo Mungu anaweza akakasirika akakupa watoto wa kike tu tena wote mbilikimo. Chunga sana unachokisema.
Maneno ya hekima haya!
 
Kwangu mapenzi nyanaanza na maumbile na maumbile ndio kigezo kikuu, hayo mengine ni yako. Usitake mimi nifanye unachokiwaza wewe, kila mtu ana upendeleo wake kwenye mambo yake.
Uzi huu umeleta mwenyewe bila shuruti so kubali criticism, la sivyo haina maana kuleta Uzi huu hapa.
Kwangu mapenzi nyanaanza na maumbile na maumbile ndio kigezo kikuu, hayo mengine ni yako. Usitake mimi nifanye unachokiwaza wewe, kila mtu ana upendeleo wake kwenye mambo yake.
 
Halafu wewe hujui. Wale flat screen ni 'wachacharikaji' wazuri kwenye 6 x 6. Na single mums walidanganywa na wanaume kama wewe halafu wakaachwa solemba. Unaposema hutaki 'short chasis' unamtukana Mungu. Hakuna binadamu yeyote aliyechagua kuzaliwa mrefu au mfupi. Na unaposema namna hiyo Mungu anaweza akakasirika akakupa watoto wa kike tu tena wote mbilikimo. Chunga sana unachokisema.
Akaombe msamaha kwa Mungu kabisa coz atabadilishiwa mawazo yake usiku huu kesho aangukie pua
 
Habari za wakati huu wakubwa.

Natanguliza pole zangu kwa wale mliokumbwa na ridandansi mubashara toka chamwino na ambao majina yenu yatachapishwa kuanzia kesho magazetini kwa kugushi vyeti na kuliibia hili taifa mabilioni ya shilingi.

Mimi binafsi nina vigezo vyangu inapokuja swala la mahusiano na wanawake, sifa yangu kubwa kwa mwanamke ni jinsi alivyo kiumbile, akili, pesa, sijui mafanikio gani hua sio kigezo kwangu, ila wanawake wa aina hii wakae mbali na mimi;

1. Mwanamke flat screen akae mbali na mimi, mwanamke ambae amepitiwa na msumeno wa chuma kwa nyuma akae mbali na mimi, hata awe na sura nzuri namna gani ila kama beki yake haiko imara huyo akae mbali na mimi.

2. Mwanamke short chesis, mwanamke mfupi hata awe mzuri na mafanikio ya aina gani ila kama amerefuka kwenda chini akae mbali na mimi, najua ghubu za watu short chesis mnazijua, hivyo mwanamke wa namna hiyo akae mbali na mimi.

3. Single moms[naomba ieleweke kua nawaheshimu sana single mamas, naheshimu sana wanawake], ila kwa kweli single moms wakae mbali na mimi.

Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binafsi na wala sina lengo la kumkashifu mtu hapa.
We ukiwa unasema hivyo wenzio tunasema 'achumbile Mungu cha kumemena'!
Haina kubagua labda anayejibagua mwenyewe!
 
Unaweza kuchagua sana na kumchambua sana binadamu mwenzako mungu anaweza kesho yako akakugeuza kiumbe cha ajabu na hao ulio wakataa ndiyo wakawa msaada kwako ni hayo tu
 
Teh teh teh acha Ku panic vitu vidogo vidogo hivi mdogo wangu mwanaume gani unakua na tabia za kushoboka namna hii,eti non of ur business!!! So what?? Nani alikwambia uje ujidabue humu
Wewe short chesis na flat screen kaa mbali na mimi, nipanic kwa kipi hasa kwa mfano?!!!.

Kama unajua uko kwenye kundi la watu niliosema wakae mbali na mimi sina namna ya kukusaidia, ndivyo ilivyo.
 
Back
Top Bottom