Msomali_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 538
- 585
Na kibamia JuuEti unamchambua mtoto wa mtu flat screen sjui Short nn afu ukute wewe mwenyewe mvuto huna, ela huna, hahahahaaaa afu unatafuta mwanamke mzuri mmmchhhweeee

Na kibamia JuuEti unamchambua mtoto wa mtu flat screen sjui Short nn afu ukute wewe mwenyewe mvuto huna, ela huna, hahahahaaaa afu unatafuta mwanamke mzuri mmmchhhweeee

Alafu ufupi wake pia heeeNa kibamia Juu![]()
Genes (biology)Vinasaba ni nini love?
Yaani ningekua single wewe ungelikua ni kiumbeWewe short chesis na flat screen kaa mbali na mimi, nipanic kwa kipi hasa kwa mfano?!!!.
Kama unajua uko kwenye kundi la watu niliosema wakae mbali na mimi sina namna ya kukusaidia, ndivyo ilivyo.
Ooh! AsanteGenes (biology)
hahaa..wadada wanaobagua wanaume kwa kuzingatia maumbile ya dushe mkae mbali nami..utani tu..Na kibamia Juu![]()
Karibu sana..!Ooh! Asante
Kuna kitu kitakupata!Kwangu mapenzi nyanaanza na maumbile na maumbile ndio kigezo kikuu, hayo mengine ni yako. Usitake mimi nifanye unachokiwaza wewe, kila mtu ana upendeleo wake kwenye mambo yake.
Hahahahahahhah, nmeipenda hiiSasa wew unaweza kushangaa ukafall na kuoa kabisa MTU uyu apa,..
Short chassis,flat bar,single mom..mungu akakuongezea, kabisa na BIGGG BOOBSS kama extra charges,
Cc Le mutuz.Kwa kipi haswa alichokuwa nacho hadi wamfuate
......
Huyu atakuwa mwili jumba mvaa mapensi bongo