Ukiondoa zile sifa ambazo laptop inatakiwa kuwa nazo, ni aina ipi iliyobora kati ya hp, acer na dell?
Kama huwezi kupata Macbooks basi jitahidi upate Sony. Nje ya hapo uongo
Cmp nzuri ni Pentium X
RAM 16kb
Processor 20HZ
HDD 10MB
Inatumia Floppy tu
Ahahaah!! Hii inapatikana wapi mkuu.