Aina gani ya friji ni nzuri?

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Habari zenu wana Jamvi, naombeni ushauri juu ya hizi fridge zilizopo madukani, ni aina gani ya fridge ni nzuri na inayodum mda mrefu, na ni kitu gani cha kuzingatia wakati wa kununua hizi fridge, maana nmeona kampuni nyingi sana kwa sasa zikiwa zinauza hizi bidhaa.

Mfano, jana nmetaka kununua kafriji kadogo ka getoni kwangu kanaitwa MrUK, nikaona ngoja niulizie kwanza wazoefu, nawasilisha

Asanteni.

20210420_181305.jpg


View attachment 1764797
20210420_181305.jpg
View attachment 1764797
 
Back
Top Bottom