Nahitaji kununua fridge ni brand gani nzuri?

Liscky

Member
Joined
Nov 23, 2014
Posts
13
Reaction score
6
Nahitaji kununua fridge ni brand gani nzuri ya kuendana na bajeti yangu ya laki 6?
 
Mimi hadi leo sijawahi ona umuhimu wa friji kwa matumizi ya nyumbani labda nitumie kama pambo LA nyumba.
Una mke una una watoto yaani nikuulize una familia au msela nondo
Km msela una miaka mingapi
Mana hata masela nondo wakishafikia 30s huwa wanapenda kujipikia huchoshwa kura mgahawani

Aliyekuambia FRIJI kazi yake ni kuifadhi vinywaji tu pekeee ni nani huyo ?

Friji halikai SEBULENI linakaa Jikoni
 
Nahitaji kununua fridge ni brand gani nzuri ya kuendana na bajeti yangu ya laki 6?

Brand nyingi za china siku hizi zina ubora tu ambao hauna wasiwasi.

Boss, MoElectro, Hisense, Mr. Uk hizi utazipata kwa bei nzuri sana.

Ila sasa kama unataka yale yenye majina LG,SAMSUNG,WESTPOINT,HITACHI ni bora ila utapata ka Friji kadoogo.
 
Oukey mkuu nimekupata asante kwa ushauri
 
mm nina mzigo wa Hicense lipo vizuri mno warranty miaka 5 ,, langu lina water dispenser .. kwa hela yko utapata dogo lake ... usijejichanganya ukanunua used
 
Brand nyingi za china siku hizi zina ubora tu ambao hauna wasiwasi.

Boss, MoElectro, Hisense, Mr. Uk hizi utazipata kwa bei nzuri sana.

Ila sasa kama unataka yale yenye majina LG,SAMSUNG,WESTPOINT,HITACHI ni bora ila utapata ka Friji kadoogo.

Kabisa Mimi namshauri atafute LG ndogo ya mlango mmoja, mzigo wa LG nimeukubali sana
 
Back
Top Bottom