Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga

Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga

Bila shaka wewe ndo yule maskini wahenga waliesema "maskini akipata ma#&ko hulia mbwata".
Hivi unahisi wote wanaoishi nyumba za kupanga hawana nyumba zao au ni maskini???
Ushawahi waza wengine wanaishi mikoa mbali na kule walikojijenga kwasabu ya kutafuta riziki?? Ushawahi waza kua mtu anaweza awe amejenga nje ya mji lakini kwasabu ya umbali wa shuhuli zake kaamua kuweka wapangaji ktk nyumba yake na yeye kapanga sehemu kwa ajili ya convenience??
Watu wengine bhana... SMH!!!
Yaani mikwarana masihara yangu imekufanya upanic
Pole sana

Ngoja nikupe hizi token 5375 4757 2536 ni za vocha ya 10,000/= ikupoze
 
Sasa jumapili kama hii nyumba za kupanda ndo drama mwanzo mwisho, huyu kafanya hichi, yule kafanya kile... Wale walionunua Subwoofer mpya ndo muda wa kuzijaribu... Tafrani tupo
 
Mpangaji mwenzangu alikuwa mshirikina. Akaleta waganga wake wakakaa pale mwezi mzima.

Wakawa wanavunja Nazi ,wanachinja kuku,wanachoma udi wao na matakataka mengine na wala hawana aibu na wanafanyia nje ya nyumba mchana kweupe.

Na watu wengine wakawa wanakuja kuaguliwa pale.


Aisee,nilikuwa very unconfortable pale.Mpaka nikawa naona noma kuleta mgeni pale geto kwa ule uchafu uliokuwa unaendelea pale.
 
Nilipanga apartment mitaa fulani, jirani zangu walikuwa wadada wawili, dah nilioa woote ikafika mahali tukakubaliana nisilete demu mwingine ni wao tu, nikawa mpaka out natoka nao wote..mwendo wa 3somes..hahaha ukawakuta kwenye maofisi kama watu vile dah..
 
Inapofikia muda unahitaji kuanza maisha ya kujitegemea, na unahitaji sehemu/chumba chenye unafuu kwenye suala zima la gharama/kodi, kimbembe hua kwenye utafutaji wa sehemu hio. Hasa pale ukizingatia sehemu unazozipata haziji na taarifa au huduma muhimu.

Hongera kama unasehemu ya kujitegemea kuishi, na hawa ndio aina ya wapangaji ambao tegemea kukutana nao kama unahamia kwenye nyumba ya kupanga.

1) Mashujaa wa kufanya ibada wasiotoa nafasi ya kulala..
Hawa watu, mmh. Shukuru kama hawatakua chumba cha jirani kwako, au lasivyo kulala itakua mtihani kwako. Wanaweza kusali, kuimba na kulia kuanzia asubuhi mpaka asubuhi nyingine bila kituo cha mapumziko, kizaazaa ukijifanya kulalamika tu, kichambo utakachopata sio cha nchi hii. [emoji22] [emoji25]

2) Walio na matatizo na kila mtu[emoji35] [emoji34]
Hawa muda wote hua na hasira hasira, kisirani, wame nuna-nuna bila sababu kuanzia asubuhi mpaka usiku. Hawapokeai wala kutoa salamu. Hua wanasubiri mtu ajikoroge tu aisome. Usiingie tisini zao, wapotezee uishi kwa amani.

3) Wanao kopa/kuazima kila kitu[emoji30] [emoji31]
Hutaki kukutana na hawa jamaa. Kukopa/Kuazima ni kama ibada kwao. Hukopa au kuazima kila kitu, kuanzia vyombo vya ndani, hela, mpaka viungo vya chakula. Halafu cha kukera sasa hua hawana cha kukuazima wewe.

4) Wanao ishi kama vivuli[emoji19] [emoji52]
Hujui kama yupo au hayupo, kwasabu muda wote mlango wao umefungwa. Utakutana nao pale baba/mama mwenye nyumba akiitisha kikao cha wapangaji tu.

5) Wanaopata wageni kila kukicha[emoji126] [emoji125]
Muda mwingine unaweza ukajiuliza kama unaishi kwenye nyumba ya kupanga au gesti. Hawa wapangaji hupata wageni kila kukicha, akitoka huyu kaingia mwingine. Ila hayakuhusu.

6) Wazee wa mziki mnene/pasua vichwa[emoji449] [emoji351] [emoji445]
Asubuhi mpaka jioni unalia mziki mkubwa kama mpo club, sauti full, utahisi speaker za redio zimewekwa chumbani kwako vile. Akiamka vibaya jamaa mnaweza kusikilizishwa mwimbo mmoja kuanzia asubuhi mpaka usiku mpaka mkazijua verse na chorus zote.

7) Wanandoa wanaogombana kila kukicha[emoji144] [emoji143]
(Acha nisitolee ufafanuzi hili, nisije kuwekwa kwenye kikaango humu[emoji124] [emoji124] [emoji124] ).

8) Wajuaji wa kila kitu, hata wasivojua[emoji15]
Hawa hupenda kuongea kuhusu kila kitu, topic ikianza tu lazima anacho cha kuongelea hata kama hawana ufahamu nayo. Jaribu kujiepusha nao hasa wakianza maswala ya siasa, mtakesha.

9) Shushushu/Kiherehere wa baba mwenye nyumba[emoji18]
Kama utashangaa jinsi gani baba mwenye nyumba hupata taarifa juu ya chochote kinachotokea ndani ya nyumba, hata kama hakuepo au haishi humo, tambua kuna huyo funza anaepeleka taarifa kwa maslahi ya kupata favor za mshua.

10) Baba/Mama mwenye nyumba[emoji123]
Sio lazima aishi hapo, wengine huishi sehemu nyingine. Kuna wengine wasela, utawaona mwisho wa mwezi mpaka mwisho wa mwezi. Ila kuna wengine haipiti week moja bila kutia timu mlangoni kwako kupiga mizinga ya hela, mpaka unajikuta unamdai hela ya kodi ya miaka miwili au mitatu. Wana maneno mazuri ya kupigia mizinga halafu utamsikia "ondoa shaka, we ondoa shaka kijana, tutakatana kwenye kodi tu,tuko pamoja".
Umesahau wapangaji wale wazee wa totoz kila siku Toto mpya inaingizwa ndani
 
Juzi tu hapa nusu niharbu kazi za watu, mtoto wa mpangaji nusu aniharbie mahusiano, nmeleta demu kamuona, juzi nmeleta mwingine akamsalimia aunty, wew mbona sio wa siku zote, uncle kapata aunty mwingine.. Nmerudi kununua chips nakuta demu wangu kanuna.. Vipi kaanza kuniwakia.. Nilichofanya yule mtoto wa jirani. Nikataka nmsugue kwenzi nkakaonea huruma..
 
Mpangaji mwenzangu alikuwa mshirikina. Akaleta waganga wake wakakaa pale mwezi mzima.

Wakawa wanavunja Nazi ,wanachinja kuku,wanachoma udi wao na matakataka mengine na wala hawana aibu na wanafanyia nje ya nyumba mchana kweupe.

Na watu wengine wakawa wanakuja kuaguliwa pale.


Aisee,nilikuwa very unconfortable pale.Mpaka nikawa naona noma kuleta mgeni pale geto kwa ule uchafu uliokuwa unaendelea pale.
Huyu mgemchangia kodi yake wadau mkamrudishia tu [emoji122]
 
Back
Top Bottom