Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga

Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga

dah! mimi nazani kivuli kinanihusu mana huwa naogopa watu hasa vi dada sa nikiwa geto yan kama nina choo na bafu ndani walahi hunioni ,mana nakuwa ndani hadi nakuwa mweupe nikitoka ni safari hadi wiki moja au zaidi nikirudi ndani.sina pakwenda mana safari zangu zinanitosha mana naenda safari ndefu hivyo sinaga hamu ya kutoka nikirudi.na huwa sipendi nyumba za wapangaji wengi wanaopenda kukaa balazani nakupikia nje wamejazana hadi unashindwa hata kwenda chooni.nisivyovipenda,sauti kubwa ya redio na mikelele yeyote,pia napenda kukaa kwa wadada wengi kwani kuna baadhi ya mambo huwa siwezi kuhangaika nikiwa nao.
 
Back
Top Bottom