Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,847
Tusingeoa.. jamaa anataka watu waoe madunga embe. Ya kagera , morogoro vijijini na moshi.
Dini tatizo mkuumkuu ongeza mke la sivyo itakugharimu- mpe probation mwambie kabisa unategemea abadilike nini na umwambie matokeo ya kukaidi
wanaume wengi wamepata pressure sababu ya hawa viumbe
unatesekaje ukiwa kwako aisee
Ni kundi lipi hapo limekukasirisha🤣🤣🤣mama yako Yuko kundi gani hapo?
Au yeye hausigel 😂😂😂😂
We peleka moto ,mpelekeee moto1. Wanawake wazuri (warembo)
Hawa ni wale wanatumia uzuri wao kama njia ya kujipatia kipato ukioa hawa, hakikisha unakua na fedha kila wakati
2. Wanawake waliosoma ngazi za juu za elimu mf. Masters, degree, nk.
Hawa watu ndugu yangu sijui utawambia nini au utawashauri nini, sasa Ole ukutane na masters ya sheria haha.
3. Wanawake waliotoka familia zenye kipato cha juu (matajiri)
Hawa ndugu wanataka mazingira yako yawe Kama ulikowatoa.. Kila kitu reference yao ni nyumbani kama huna kipato kaa pembeni.
4. Wanawake walioitwa kumtumikia Mungu.
Hawa hua hawasikilizi wanaume kila wakati wanasikiliza sauti ya Roho mtakatifu tu.
Chonde Chonde usitafute pressure za bure. Otherwise uwe umemshirikisha Mungu kweli kweli.
Ushawahi kua na demu aliyeenda JKT kujitolea then akakosa ajira[emoji848][emoji848][emoji848]au Mungu alinipa ili niwape ushuhuda ndugu zangu
Ni bora kuowa mwanamke masikini wakutupwa akutegemee kuliko kutafuta mwenyepesa au msomi
Atakuuwa!
😁Tuache tu[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Tupe ushuhuda mkuu
Na utakufa kweliAcha nife
mkuu fafanua. kwao wapi ? maana wote kwetu ni kwa mungu baba alie uko juu👆Mtu akiwa kichefu chefu mpeleke kwao tu hakuna jinsi
HahahahahaHao wote ..afadhali .. mwanamke anae safiri kikazi mara Kwa mara je?
wakuu samahani huyu anaingia wapi 1,2,3 au 4?Mwanmke yoyote anaolewa regardless kipato chake
Na utakufa kweli
Ushawahi kua na demu aliyeenda JKT kujitolea then akakosa ajira[emoji848][emoji848][emoji848]au Mungu alinipa ili niwape ushuhuda ndugu zangu