Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kudumu katika ndoa

Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kudumu katika ndoa

1: WANAWAKE WAZURI SANA
- Inahitajika roho mtakatifu tu kumfanya mwanamke mrembo adumu ndani ya ndoa.

- Wana matumizi makubwa sana (Wagharama sana) pia wengi wana tamaa kwa kujiona wanastahili kupata watu wenye hela zaidi na kutokana na kutamaniwa sana hujisahau na kuingia mtegoni

- Wengine Wanatumia uzuri wao kama mtaji wa kutengeneza pesa

2: WANAWAKE WENYE ELIMU ZAIDI
- Mwanamke akiwa na degree, Masters, PhD ilii abaki kwenye ndoa ni neema ya Mungu tu.

- Sifa zao huwafanya wawe Single.

- Tembelea ofisi katika makampuni, wanawake wengi walio na nafasi za juu na matajiri hawajaolewa au waliachika

Chanzo kikuu ni kujifanya wajuaji kuliko hata waume zao, anaamini kama anaongoza wanaume ofisini na amekuzidi elimu na hela kwanini wewe mume asikuongoze?

3: WANAWAKE KUTOKA FAMILIA TAJIRI
- Wanawake wanaolelewa chini ya familia za kitajiri ni ngumu kuolewa kwa sababu wanataka mazingira yale yale waliyokulia nayo.

- Hawataki kushauriwa
Hujikuta mameneja mpaka ndan ya ndoa wajuaji na jeuri mno

4: WANAWAKE WAPENDA DINI SANA
- Wanawake wengi walio na wito wa Mungu hawana waume, ama wameachika

- Hawana muda wa kufanya kazi za nyumbani

-Hawana muda wa kuwajali waume zao

- Waume zao hawawezi kuwashauri kwa sababu wanasikiliza tu kutoka kwa roho mtakatifu.

Kuna anaebisha haya?
Namba 1 mpaka 3 mke wangu anazo, leo ni zaidi ya miaka 10 na amekuwa mama bora sana. M/Mungu amtunze sana mama "B"
 
Kwa hiyo mleta mada unamaanosha wanaume wanapotaka mke ambaye atadumu katika ndoa kuoa vigezo viwe

1. Mwanamke mbaya
2. Asiye na elimu
3. Aliyetokea familia masikini
4. Asiyependa dini sana
Akikujibu uni-tag mkuu.
 
1: WANAWAKE WAZURI SANA
- Inahitajika roho mtakatifu tu kumfanya mwanamke mrembo adumu ndani ya ndoa.

- Wana matumizi makubwa sana (Wagharama sana) pia wengi wana tamaa kwa kujiona wanastahili kupata watu wenye hela zaidi na kutokana na kutamaniwa sana hujisahau na kuingia mtegoni

- Wengine Wanatumia uzuri wao kama mtaji wa kutengeneza pesa

2: WANAWAKE WENYE ELIMU ZAIDI
- Mwanamke akiwa na degree, Masters, PhD ilii abaki kwenye ndoa ni neema ya Mungu tu.

- Sifa zao huwafanya wawe Single.

- Tembelea ofisi katika makampuni, wanawake wengi walio na nafasi za juu na matajiri hawajaolewa au waliachika

Chanzo kikuu ni kujifanya wajuaji kuliko hata waume zao, anaamini kama anaongoza wanaume ofisini na amekuzidi elimu na hela kwanini wewe mume asikuongoze?

3: WANAWAKE KUTOKA FAMILIA TAJIRI
- Wanawake wanaolelewa chini ya familia za kitajiri ni ngumu kuolewa kwa sababu wanataka mazingira yale yale waliyokulia nayo.

- Hawataki kushauriwa
Hujikuta mameneja mpaka ndan ya ndoa wajuaji na jeuri mno

4: WANAWAKE WAPENDA DINI SANA
- Wanawake wengi walio na wito wa Mungu hawana waume, ama wameachika

- Hawana muda wa kufanya kazi za nyumbani

-Hawana muda wa kuwajali waume zao

- Waume zao hawawezi kuwashauri kwa sababu wanasikiliza tu kutoka kwa roho mtakatifu.

Kuna anaebisha haya?
Aseee wee jamaa umenigusa kabisa hz scenario nimeziface Sana
 
"Kuolewa sio lazima"

Haya ni maneno ambayo mara nyingi humtoka jinsia ya kike iliyojikatia tamaa ya kuolewa ili kujifariji.....wenyewe wanakwambia maneno ya mkosaji

Japo ni kweli kuolewa sio lazima
Hii ni kweli na ninaushahidi kama 10000!
 
Sidhani kama kuna ukweli,nahisi ni mawazo hasi tuliyonayo wanaume,kuna rafiki yangu anamjomba yake,na mjomba hana Kazi yoyote,mkewe ni boss mkubwa taasisi fulani lakini namna alivyoset standards,japo ndugu wote wa Pande zote mbili wanajua mwenye hela ni mke,wakimuomba anasema kaombeni kwa Baba mimi sina,so ni namna familia ilivyojengwa na msingi imara,hata uende pale unataka nini kama hujapita kwa Baba hakusaidii
Sema Huwa ni kipndi tu Cha mpito hakidumu.
 
Wote wakiolewa huoni ubakaji utakua mkubwa Kwa kiwango cha kutisha?
Vijana wanaobalehe watajifunzia wapi mapenzi?
Vipi wanaume wanaochoka wake zao,unadhani watabadilishia ladha wapi?
Inaleta mzuka unapouliza wadau kua yule mdada vipi,kaolewa,ukijibiwa hajaolewa,unapata mzuka wa kumfukuzia Ili upige usepe.
MSIOLEWE wote jamani.
 
Back
Top Bottom