Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,494
- 56,346
Hatar sana[emoji1787] kulikoni?
Hatar sana[emoji1787] kulikoni?
Mkuu vipi huyo MWANAMKE akawa1. Wanawake wazuri (warembo)
Hawa ni wale wanatumia uzuri wao kama njia ya kujipatia kipato ukioa hawa, hakikisha unakua na fedha kila wakati
2. Wanawake waliosoma ngazi za juu za elimu mf. Masters, degree, nk.
Hawa watu ndugu yangu sijui utawambia nini au utawashauri nini, sasa Ole ukutane na masters ya sheria haha.
3. Wanawake waliotoka familia zenye kipato cha juu (matajiri)
Hawa ndugu wanataka mazingira yako yawe Kama ulikowatoa.. Kila kitu reference yao ni nyumbani kama huna kipato kaa pembeni.
4. Wanawake walioitwa kumtumikia Mungu.
Hawa hua hawasikilizi wanaume kila wakati wanasikiliza sauti ya Roho mtakatifu tu.
Chonde Chonde usitafute pressure za bure. Otherwise uwe umemshirikisha Mungu kweli kweli.
Wanamuona ni pepo hawawezi kumsikiliza.Pole mkuu jaribu kuongea nae mpeleke hadi kwa wazee wa kanisa
Mwanamke anaesafiri kufuata mzigo,china,dubai,turkey yani ndoa lazima ipasuke hata kma wewe ndio umempa mtajiHao wote ..afadhali .. mwanamke anae safiri kikazi mara Kwa mara je?
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] pole ukishindana nae jua una pambana na JeshiUshawahi kua na demu aliyeenda JKT kujitolea then akakosa ajira[emoji848][emoji848][emoji848]au Mungu alinipa ili niwape ushuhuda ndugu zangu
Sema Mungu ni wetu sote[emoji12][emoji12][emoji12][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] pole ukishindana nae jua una pambana na Jeshi
Kabisa yaani nisioe mwanamkezuri kisa nitachapiwa...aisee hapa wacha waichape mbususu lakini mke mzuri bwana raha kuwa nae sema ndalama tuu zinapiga chengaMwanamke akiwa navyo hivyo plus ni wife material huyo kwangu nampa priority kuwa mke hata sijiulizi mara mbili
Kuliko awe wife material asiye na mvuto, asiye na elimu, asiye na hofu ya Mungu na kutokea familia ya kimasikini
Hakuna mwanamume asiyetaka kuoa mwanamke mzuri na mwenye mvuto tusidanganyane
Mwanamke wa kuoa lazima awe yule anayekuvutia sio heshima na adabu tu peke yakeKabisa yaani nisioe mwanamkezuri kisa nitachapiwa...aisee hapa wacha waichape mbususu lakini mke mzuri bwana raha kuwa nae sema ndalama tuu zinapiga chenga
🤣🤣🤣✋🏽We mbaba kunywa uji wa futari upumzike
Acha kukariri....1: WANAWAKE WAZURI SANA
- Inahitajika roho mtakatifu tu kumfanya mwanamke mrembo adumu ndani ya ndoa.
- Wana matumizi makubwa sana (Wagharama sana) pia wengi wana tamaa kwa kujiona wanastahili kupata watu wenye hela zaidi na kutokana na kutamaniwa sana hujisahau na kuingia mtegoni
- Wengine Wanatumia uzuri wao kama mtaji wa kutengeneza pesa
2: WANAWAKE WENYE ELIMU ZAIDI
- Mwanamke akiwa na degree, Masters, PhD ilii abaki kwenye ndoa ni neema ya Mungu tu.
- Sifa zao huwafanya wawe Single.
- Tembelea ofisi katika makampuni, wanawake wengi walio na nafasi za juu na matajiri hawajaolewa au waliachika
Chanzo kikuu ni kujifanya wajuaji kuliko hata waume zao, anaamini kama anaongoza wanaume ofisini na amekuzidi elimu na hela kwanini wewe mume asikuongoze?
3: WANAWAKE KUTOKA FAMILIA TAJIRI
- Wanawake wanaolelewa chini ya familia za kitajiri ni ngumu kuolewa kwa sababu wanataka mazingira yale yale waliyokulia nayo.
- Hawataki kushauriwa
Hujikuta mameneja mpaka ndan ya ndoa wajuaji na jeuri mno
4: WANAWAKE WAPENDA DINI SANA
- Wanawake wengi walio na wito wa Mungu hawana waume, ama wameachika
- Hawana muda wa kufanya kazi za nyumbani
-Hawana muda wa kuwajali waume zao
- Waume zao hawawezi kuwashauri kwa sababu wanasikiliza tu kutoka kwa roho mtakatifu.
Kuna anaebisha haya?