Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kudumu katika ndoa

1. Wanawake wazuri (warembo)
Hawa ni wale wanatumia uzuri wao kama njia ya kujipatia kipato ukioa hawa, hakikisha unakua na fedha kila wakati

2. Wanawake waliosoma ngazi za juu za elimu mf. Masters, degree, nk.
Hawa watu ndugu yangu sijui utawambia nini au utawashauri nini, sasa Ole ukutane na masters ya sheria haha.

3. Wanawake waliotoka familia zenye kipato cha juu (matajiri)
Hawa ndugu wanataka mazingira yako yawe Kama ulikowatoa.. Kila kitu reference yao ni nyumbani kama huna kipato kaa pembeni.

4. Wanawake walioitwa kumtumikia Mungu.
Hawa hua hawasikilizi wanaume kila wakati wanasikiliza sauti ya Roho mtakatifu tu.
Chonde Chonde usitafute pressure za bure. Otherwise uwe umemshirikisha Mungu kweli kweli.
Wanawakke wenye mwanya
 
Kwanza ni mafeminist lakini pia ni mabondia wa maneno na vitendo
 
Tuwe wakweli Wakuu, mabadiliko ya teknolojia na sayansi yamefanya mfumo mzima wa maisha ya ndoa na mahusiano kuwa changamoto nyakati hizi.

Miaka ya zamani ilikuwa unaweza kuoa Mwanamke darasa la 7 na mkajikuta mnafanya maisha yenu vizuri tu.

Kutokana na changamoto za utafutaji na maisha kwa Ujumla, ilipelekea Wanaume wengi miaka hii kutotaka kuwa kwenye mahusiano na Wanawake wasio na vipato ama wenye Elimu za wastani ama Duni.

Kitendo cha Wanawake kuanza kuchangia mapato ya ndani ya familia kumefanya waanze kupata kibuli kwani wanajua wanaweza kulea na kutunza watoto wao pasipo shida.

Hivyo kuanza kuwa na kiburi.

Jambo la muhimu ni kumshirikisha Mungu kwenye kutafuta Mchumba na ndoa kwa Ujumla.

Maandiko yanasema Utapewa Mke/Mume wa kufanana naye.

Je huyo uliyenaye mnafanana?
 
1. Wanawake wazuri (warembo)
Hawa ni wale wanatumia uzuri wao kama njia ya kujipatia kipato ukioa hawa, hakikisha unakua na fedha kila wakati

2. Wanawake waliosoma ngazi za juu za elimu mf. Masters, degree, nk.
Hawa watu ndugu yangu sijui utawambia nini au utawashauri nini, sasa Ole ukutane na masters ya sheria haha.

3. Wanawake waliotoka familia zenye kipato cha juu (matajiri)
Hawa ndugu wanataka mazingira yako yawe Kama ulikowatoa.. Kila kitu reference yao ni nyumbani kama huna kipato kaa pembeni.

4. Wanawake walioitwa kumtumikia Mungu.
Hawa hua hawasikilizi wanaume kila wakati wanasikiliza sauti ya Roho mtakatifu tu.
Chonde Chonde usitafute pressure za bure. Otherwise uwe umemshirikisha Mungu kweli kweli.
Uchambuzi makini sana huu
 
Hio namba 4 aisee ni changamoto.

Mwanamke anamheshimu mchungaji kuliko mme wake.

Haogopi kurudi saa sita usiku eti kwasababu alikuwa kweny ibada.

Wachungaji wa siku hizi wamewa hypnotise kwa kutumia uchawi na kuwafunga akili kabisa.

Huwalazimisha kulipa sadaka na kuwachangisha michango kwa kuwatisha kwamba wasipowapa hela maisha yao yatakuwa ya laana, na kuwatishia kuwafukuza kanisani(kwasababu wamewatengenezea fikra kwamba hapo ndipo wokovu ulipo sehemu nyingine hamna)

Wachungaji wamewadanganya kwamba wao pekee ndo wanaelewa maandiko na tasfiri zake, wakati mungu anasema, kila binadamu amepewa uwezo na akili ya kusoma, kuelewa na kutasfiri maandiko.

Baada ya kuwachuna hela zote wakisha jitajirisha huwaua, wanawaua baada ya kufunguka akili na kugundua walikuwa wanatapeliwa.

Wahenga wanasema "Za mwizi arobaini".
Hakika nyie wachungaji mnaofanya hivi mungu mweny haki anawaona na hakika mtapewa hukumu inayowastahili.
 
Back
Top Bottom