Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kudumu katika ndoa

Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kudumu katika ndoa

Akijipendekeza ni wa kupiga shoo tu inatosha. Akikupenda atakuzalia mtoto na pengine akakuganda maisha yake yote ukawa ni mume wake, hii tunaita bahati, 'zali la mentali' kupendwa na wanawake hao. Ila ukweli wanatisha
 
usiwaite dada zetu zero brain mwanamke anaweza akawa hajasoma ila akawa ana maarifa na ujuzi mwingi tu kuliko hata aliyesoma elimu yetu hii ambayo watoto hadi leo wanasoma Trans haranTrade


Ilikuwa zamani Shule ni chache na zilikuwa mbali na ufaulu ulikuwa mdogo,
Siku hizi failures wengi ni vilaza!
 
1. Wanawake wazuri (warembo)
Hawa ni wale wanatumia uzuri wao kama njia ya kujipatia kipato ukioa hawa, hakikisha unakua na fedha kila wakati

2. Wanawake waliosoma ngazi za juu za elimu mf. Masters, degree, nk.
Hawa watu ndugu yangu sijui utawambia nini au utawashauri nini, sasa Ole ukutane na masters ya sheria haha.

3. Wanawake waliotoka familia zenye kipato cha juu (matajiri)
Hawa ndugu wanataka mazingira yako yawe Kama ulikowatoa.. Kila kitu reference yao ni nyumbani kama huna kipato kaa pembeni.

4. Wanawake walioitwa kumtumikia Mungu.
Hawa hua hawasikilizi wanaume kila wakati wanasikiliza sauti ya Roho mtakatifu tu.
Chonde Chonde usitafute pressure za bure. Otherwise uwe umemshirikisha Mungu kweli kweli.
Watu wakuoa
1.Yatima
2.Bikra
3.Anayejua shida ni nini na dhahama ya njaa.
 
kwangu Heshima,Afya njema na akili mingi, hapo naoa bila maswali mengi.
 
Mwanmke yoyote anaolewa regardless kipato chake
Sio kirahisi ivyo sababu mwanaume Ndio anayeoa Na Ndio Maana kuna msemo unasema Mwanaume hawezi kukosa mwanamke wa kuoa ila Mwanamke Anaweza kukosa Mwanaume wa kumuoa.Kiufupi ili Wanawake Waolewe lazima Wanaume Waoe.
 
Mtazamo wangu ni huu, kama umeoa mwanamke aliyeokoka na hakutii huyo hajaokoka, maana Bibilia imeaamuru wanawake kuwatii waume zao sio wachungaji wao, kwahiyo ukioa mwanamke wa namna hiyo hakikisha anafuata kile unachotaka wewe sio anachotaka mchungaji.

Mwanamke msomi hakikisha anafuata sauti yako usomi wake uwe huko kazini kwake sio akuleteee wewe, akileta ujuaji unamwambia achape lapa, tatizo hapo huwa likuwa kwenywe mapenzi upofu, kwangu ninachojali pamoja na elimu yake amekubali kukaa na Mimi atafuata cha kwangu, achana na mambo ya demokrasia ndani ya ndoa lazima ikugharimu, baba zetu mbona waliweza kuwaachisha mama zetu kazi na wakaacha ili kufuata matakwa ya mume?? Saizi tunakwama wapi?
 
Kwa kiasi kikubwa hao ndio hua wanaingia na tabia za ki feminist kwenye ndoa, utajikuta umekufa kwa "puresha"
 
Back
Top Bottom