Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

Wakuu ,I am withdrawing my thread, someone took me through the all process and found text messages which shows the money was deposited to my account. Btw ,kwenye simu yangu upande wa text message ili kuzuia sms za hovyo hivyo natumia True caller sms app kublock sms za matangazo, promotions na service providers ambazo sizihitaji, so hizo sms toka NMB sikuziona until I disabled the app. So l hereby apologize to all for the inconvenience caused. Na pia namshukuru member aliye take trouble kuja in box kunielewesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm week iliyopita nilifungua acc NMB pia....
Unacho sema ni kweli kbsaa,
Ila Hela unayompa inaingizwa kwenye simu yako papo papo, watakata 5000 ya ATM na 500 ya VAT...
Kwaio HAKUNA WIZI

Kanipa form nikajaza,
Nikampa ID ya kura, Nikapga picha, nikasain
Nikampa10 akatia mfukoni....
Nikaletewa msg hela imeingia....
Kuna wizi gani hapo?

Ilikua chapchap accnt.....
Kama jina "chapchap" linavyojieleza,
Nilikua nipo CHAP kanishughulikia CHAP nikamaliza shida yangu CHAP nikasepa CHAP.

Binafsi sikujali na wala sijali as long accnt yng ipo active, hela ilivyotumika nimeona na inayobaki naona pia na nikiri Alinipa care nzuri....

Halaf wale wanaofungua chapchap acc hua wanazunguka mpk mtaani(wengi humu mtakubaliana na mm) Sasa mzee ulitaka atembee na Counter ili mteja adeposit?
Nini Maana ya Chap chap?
Tukizungushwa tutaanza kusema.....
Wabongo ma complicator.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweli. Pesa imeingia kwenye akaunti yako na meseji umepata, huo wizi upo wapi??

Risiti inasoma hapo kwenye meseji ya simu yako, wewe umekariri hadi upewe lundo la makaratasi!!! Hawa st.kayumba ni wasumbufu sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naandika uzi huu nikiwa shuhuda wa ninalotaka kuongelea, inawezekana labda mimi ndio sijui mabadiliko ya mifumo ya kibenk haswa kwenye kufungua account mpya.
Nimewahi fungua account kadhaa kwenye bank tofauti hapo nyuma lakini hili nililolishuhudia NMB limenistua.

Mara zote unapofungua account mpya ya bank unatakiwa kuwa na kitambulisho cha taifa, kura , barua ya serikali ya mtaa au mwajiri na kiasi cha pesa au ada ya kufungulia account.
Kama wiki imepita nilienda kufungua account NMB bank, bahati nzuri desk la kufungulia account halikuwa na foleni kubwa, kulikuwa na wateja wanne tu mbele yangu.

Sasa kilichonishangaza ni kwamba ile ada ya kufungulia account (kulikuwa na ada ya 10,000/ kwa account ya Chap chap na 15,000/ kwa account ya saving) ,kwa kawaida bank nyingine ukishafungua wa wanakwambia uende counter uka-deposit hicho kiasi but surprisingly yule bank officer alikuwa akichukua pesa na kuweka mfukoni bila kukupa risiti au bank slip.

Yaani kachukua ya mteja wa kwanza kaweka mfukoni, wa pili , wa tatu , wa nne hadi yangu pia. Sasa mimi nikawa najiuliza kama nikinunua kilo ya sukari shs 2,500/ napewa risiti, iweje bank haitoi risiti au kwa nini ile ada isiwe deposited moja kwa moja kwa account then wao wakaikata?

Je, serikali inapataje kodi yake toka kwa ada ya kufungua account? Na je NMB wanalijua hili au ndio utaratibu wao? To me this is theft, yaani kama siibiwi mimi basi serikali inaibiwa.
KWA HIYO NA WEWE UKAKUBALI UNAONA UNAIBIWA UNAANGALIA TU?
 
Wakuu ,I am withdrawing my thread, someone took me through the all process and found text messages which shows the money was deposited to my account. Btw ,kwenye simu yangu upande wa text message ili kuzuia sms za hovyo hivyo natumia True caller sms app kublock sms za matangazo, promotions na service providers ambazo sizihitaji, so hizo sms toka NMB sikuziona until I disabled the app. So l hereby apologize to all for the inconvenience caused. Na pia namshukuru member aliye take trouble kuja in box kunielewesha

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ustaarabu wa Mtanzania na Mwafrika ulivyokuwa huko zamani,ukigundua kuwa ulikosea,ni vyema kuomba samahani.
Kongole kwa kuomba msamaha.
 
Back
Top Bottom