AIBU ya Mwaka: Wanafunzi 400 wanakaa chini

AIBU ya Mwaka: Wanafunzi 400 wanakaa chini

Waziri mwenye dhamana ya tamisemi ameshalitolea maelezo ya kueleweka

Kumbe shule yenyewe haina muda na tunachokiona ni matokeo ya jamii za wafugaji zinazohamahama
Siyo kweli ni uongo tupu, wafungaji wanao hama hama wamehame wote mia 400 kwa pamoja?
 
Wakati vyama vya upinzani vikizuiwa kufanya siasa wewe unashangilia alafu sasa hivi unasema vije na suluhu.hiyo suluhu utaipata vip bila kuacha watu wawe huru kuongea?.Kwa akili za kawaida iko wazi kua ccm imeshindwa kufanya mambo ya msingi kwa ufanisi ndo maana wanaangaika nayale yanayowapa ufahari wa muda kidogo uku mambo ya msingi na muhimu yakiwashinda ndo maana hawataki wengine wawakosoe maana ni aibu.Mkisikia hoja ya katiba mpya ndo mnachanganyikiwa kabisa kwasababu mnajua uwezo wenu mdogo na hamna uwezo wakujenga hoja pale wananchi watakapokua na mamlaka yakuhoji na kuwajibisha.
Safari hii wananchi wamechoka mpka wataachia ngazi
 
Back
Top Bottom