mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,455
- 36,446
Wakati vyama vya upinzani vikizuiwa kufanya siasa wewe unashangilia alafu sasa hivi unasema vije na suluhu.hiyo suluhu utaipata vip bila kuacha watu wawe huru kuongea?.Kwa akili za kawaida iko wazi kua ccm imeshindwa kufanya mambo ya msingi kwa ufanisi ndo maana wanaangaika nayale yanayowapa ufahari wa muda kidogo uku mambo ya msingi na muhimu yakiwashinda ndo maana hawataki wengine wawakosoe maana ni aibu.Mkisikia hoja ya katiba mpya ndo mnachanganyikiwa kabisa kwasababu mnajua uwezo wenu mdogo na hamna uwezo wakujenga hoja pale wananchi watakapokua na mamlaka yakuhoji na kuwajibisha.
kina Nyerere, Nkurumah, Mandela..... wangekua wanadeka kama chadema sijui ingekuaje!?
Yaani chadema wao ni wa kulalamika tuuuu na kudekadeka na kudemka
Siasa inahitaji akili, ujasiri na umakini wandugu