Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,094
Ukisema waalimu ndio waajiriwa wengi, usisahau kwamba kundi kubwa la wafanyabiashara ni machinga na wauza karanga.Wa ajiliwa wanao toboa haraka ni wezi wengine ni wana siasa wanao jificha kwenye ajira za serikali, ila waalimu ambao ni 47% ya wajiliwa wote hali yao ni mbaya hawexi kumiliki nyumba ya 70m na gari ya 35m wengi wana miliki pikipiki na basikali au baby wslkers.
Hata wafanyabiashara wanaotoboa haraka nao wengi ni wezi/dhulumati/wapigaji/walozi nkWa ajiliwa wanao toboa haraka ni wezi wengine ni wana siasa wanao jificha kwenye ajira za serikali, ila waalimu ambao ni 47% ya wajiliwa wote hali yao ni mbaya hawexi kumiliki nyumba ya 70m na gari ya 35m wengi wana miliki pikipiki na basikali au baby wslkers.
Ni shida sana, foreigners running things at your house, ni ukoloni wa kiuchumi.Hii ni nchi ya Kijamaa..
You either become the cartel, mix politics and business or perish..
Multinationals karibu zote ninazozijua zimechomoa biashara zao Tanzania, sio kwa bahati mbaya..
Hizo laana wanaweza beba wahindi na waarabu wakidhan wanawatawala watu weusi.
Mtu mweusi akitaka kutoboa anambiwa alipe kodi ya tangu 1970 au kujisalimishe akilime korosho na vitunguu zinalipa.
Nakumbuka vita walizopigwa Mengi na Mfuruki sina ham.
Madini, Misitu na Mbuga na hotel za taifa ni biashara za wageni
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake
Ajira nchi nchii inalipa sana mfano mkurugenzi wa halimashauri anaweza kupiga b moja pesa mfanya biashara mwenye mtaji wa m500 kuizalisha inaweza kumchukua Maisha yake yoteInashangaza sana kuona nchi iliyobarikiwa rasilimali kibao kukuta wafanya biashara waliotoboa ni wachache, WHY ??
mbaya zaidi karibu top 20 wote ni wageni waarabu na wahindii kina Bakhresa, Mo, Gsm. bado nawaaita wageni sababu huwa wanaishi kivyao, huoana wao kwa wao, huzikana wao kwa wao, si watu wa kujichanganya sana na sisi watanzania wenye asili ya kiafrika.
tukija kwa wafanyaabiashara waliofanikiwa wenye asili zetu ni wachache sana waliotoboa,
ukienda maeneo yanayosifika kuishi watu wanaojiweza si ajabu ukakuta wafanyabiashara wana nyumba nzuri zaidi kuliko wengine lakini idadi yao kwenye hayo maeneo ni ndogo, wengi waliojenga ni waajiriwa, mfano ukienda osyter bay, mbezi, upaanga, n.k. unawaeza kuta katika nyumba 100 ni 20 tu ndizo za wafanyabiashara.
Na huwezi kufanikiwa bila kuwa na hizo characterHata wafanyabiashara wanaotoboa haraka nao wengi ni wezi/dhulumati/wapigaji/walozi nk
You have said it all 🙌Hii ni nchi ya Kijamaa..
You either become the cartel, mix politics and business or perish..
Multinationals karibu zote ninazozijua zimechomoa biashara zao Tanzania, sio kwa bahati mbaya..
Hizo laana wanaweza beba wahindi na waarabu wakidhan wanawatawala watu weusi.
Mtu mweusi akitaka kutoboa anambiwa alipe kodi ya tangu 1970 au kujisalimishe akilime korosho na vitunguu zinalipa.
Nakumbuka vita walizopigwa Mengi na Mfuruki sina ham.
Madini, Misitu na Mbuga na hotel za taifa ni biashara za wageni
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake
Dar ndiko nchi ilipo lakini hata mikoani maeneo ya ushuani asilimia kubwa wakazi wake ni waajiriwa.labda kwa dar tu ila huku mikoani kwetu wafanya biashara ndo wanakimbiza
Ukisoma kitabu Cha R.Mengi Cha I can,I will I must !ni shida sana, foreigners running things at your house, ni ukoloni wa kiuchumi.
at least kungekuwa hata na wabongo watatu humo top 10
bad enough yani hao wageni wana exploit sana wafanyakazi kwenye kuwatajirisha, nishasikia dereva wa kusambaza bidhaa analipwa laki 1, viwandani ni kazi mtindo moja malipo elf 5, ndio mboss wanaoongoza kwa kulalamikiwa kunyanyasa na kutukana wafanyakaziUkisoma kitabu Cha R.Mengi Cha I can,I will I must !
Jamaa anasema serikali ya kwanza ilipiga vita wazawa kuwa matajiri Kwa kuwawekea vikwazo kibao!!
Yaani Dola yetu iliamua Kwa dhati kuwa matajiri wawe wazawa wenye asili ya Asia kuliko wazawa!!
Dola ndio.inaamua nani awe tajiri.na nani awe maskini katika taifa husika!!!
Hai kina mo,GSM,bakhresa wote hao ni dola ndio.iliamua wawe hivyo walivyo!!
Rip Mengi,Mufruki etc!