AIBU TUPU: Ubalozi wa Tanzania hapa Zimbabwe...

Ni kweli wa bongo kibao wanapiga kazi , Kwa sababu wamekidhi vigezo ,lugha English na Kiswahili , umemuelewa vizuri mleta mada.ni kwamba hao aliowakuta huko Zimbabwe Kiswahili akipandi sasa watamsaidiaje Mtanzania ambaye English imemkalia left?
Mkuu wewe umenielewa vyema sana
 
Na wanaongea kiswahili tu hawajui kuzungumza kingereza?
The trouble with Nigeria(read Tanzania ) is simply and squarely a failure of leadership. There is nothing basically wrong with the Nigerian character. There is nothing wrong with the Nigerian land or climate or water or air or anything else. The Nigerian problem is the unwillingness or inability of its leaders to rise to the responsibility, to the challenge of personal example with are the hallmarks of true leadership. qoute Chinua Achebe.
Brother ure so wise...I always follow ure comment sehemu tofauti ...keep it up
 
Bora walikukaribisha, wengine hata karibu huwa hawana wakimuona mtanzania anatembelea wanadhani anakwenda kuomba pesa/Msaada. Nakubali balozi zetu zibadilike tena ziajiri wataalamu kulingana na maeneo. Mf. Kama nchi imeendelea kwa technolojia tupeleke huko mainjinia, kama kilimo tupeleke wataalam wa kilimo na Mifugo.
 
Huku safari za nje zimekatazwa, tumeambiwa kazi zitafanywa na balozi, halafu balozi zenyewe ndizo hizi.
 
Balozi nyingi zinaweka wazawa wa nchi husika kutokana na sheria za nchi. Mfano balozi ya marekani ina wabongo wanaofanya kazi.
Istoshe haujatupa mrejesho kama ulienda kujiandikisha ukiwa zimbabwe au kwa msaada fulani nafkiri hata hao dada wangekusaidia, ila kama ulitaka kwenda kupiga story za kibongo huna chako. Mkuu anataka anataka mabalozi wapige kazi ya kuitangaza tz na kuvutia wawekezaji, iweje kuwa walikuwa mkutanoni au wana shughuli fulani? Kama ulikuwa na shida rasmi ya kuonana na balozi wangekupa appointment hao madada.

Kwa upande wa pili, sio jambo jema kuwaacha watumishi wageni kwenye ubalozi wako na hakuna mtanzania hata mmoja ndani wakati wowote kama mwakilishi. Lolote laweza kutokea
 
Mkuu Investigator

Duh hiyo ya Ubarozi nimeipenda Mkuu andika ''Ubalozi'' ndio neno sahihi.

Na hiyo NCHI YANGU TANZANIA IBADIRIKE andika ibadilike ndio neno sahihi.

Hivi kweli mimi mtanzania nakalibishwa = Neno sahihi ni nakaribishwa

Na pia usipende kutumia herufi kubwa
Una uhakika gani alikuwa na maana hizo. Kama una uhakika basi yuko sahihi, umemuelewa vyema
 
Hujui uandikacho. Balozi nyingi sana za nje zilizo Dar ma-receptionist/attendat ni watanzania!
  • So kama wao wanafanya unataka na sisi tu copy and paste?
  • Tunaweza kuja na version yetu
  • Kwa mantiki hiyo hata kule Nairobi kwenye ubalozi wetu unaunga mkono mzawa "mkenya" kuomba na kupewa ajira pamoja na rafu zote wanazo ifanyia nchi yetu.
 
Mkuu Investigator

Duh hiyo ya Ubarozi nimeipenda Mkuu andika ''Ubalozi'' ndio neno sahihi.

Na hiyo NCHI YANGU TANZANIA IBADIRIKE andika ibadilike ndio neno sahihi.

Hivi kweli mimi mtanzania nakalibishwa = Neno sahihi ni nakaribishwa

Na pia usipende kutumia herufi kubwa
Ivi mbona mnapenda kufanya wenzetu computer? Tokeni apa
 
AIBU AIBU TUPU!HUU NI UJINGA NANI AIBU TUPU KWA TAIFA KAMA TANZANIA,
JANA NILITOKA SOUTH AFRIKA NIMESOGEA ZIMBABWE MARA MMOJA,NILIFIKA HARARE SAA TATU USIKU.

View attachment 474159
View attachment 474161


LEO ASUBUH NIMEAMKIA TOWN KWA ISSUE ZANGU,NILIPOMALIZA MIDA YA SAA SABA NIKAONA NGOJA NIKAUSALIMIE UBALOZI WANGU WA TZ HAPA HARARENILICHOKIKUTA WADAU NI AIBU, KIUKWELI NI AIBU KUBWA,WAFANYAKAZI WAWILI OFISI NZIMA,HAWAJUI KISWAHILI WANAONGEA SHONA NA ENGILISH,
WALINIKALIBISHA.

BASi si unajua ukiwa nje ya nchi yako ukifika ubaloz wako basi unajisikia furaha sana,maana ni kama uko nchini mwako.

Basi wadau nilivyofika nikawasalimia wale wadada,
HABAr zenu
Wakajibu fine..
Nilijua ni wabongo wenzangu bhana kumbe washona, hawajui KISWAHILI kabisa,
Wakaniambia HAWAJUI KISWAHILI hivyo nizungumze kingereza,
BASi ikabidi nianze kuzungumza nao kingereza.

KATIKA kuwauliza wale wadada wakaniambia pale OFISIn wako wenywe na watanzania Wa wawili pekee. KATIKA kufatilia nikakundua wanaowasema wawil ni viongoz wakubwa ambao mara nyingi hawatulii ofisini,
DUUUH!!Nimejiuliza maswali mengi sana nikiwa natoka,

Hivi kwanini ubalozi kama huu usiajili watanzania full? Hata kama ni wachache lakini wawe wanatoka nyumbani?

Kuna WATANZANIA wangap wanalia ajira huko?Kwanini ubaloz kama huu ushindwe KUWA na wazawa wakutosha ukizingatia ni nchi ambayo raia wetu kila siku wanakuja HAPA na ina watanzania wengi.

KWANINI lakini?
Hivi kweli mimi mtanzania nakaribishwa NA mzimbabwe ambaye hajui hata lugha yangu?huu ni ujinga...
Tena nasema ni UJINGA...huwezi kumwajiri mtu kwenye ubaroz asiyejua hata lugha yako....shame on you...tumekuwa wajinga kila mahali,
NASEMA UWAZI NCHI YANGU TANZANIA IBADIRIKE..NAdHAN KUNA baloz nyingi za kwetu zilizo nauzo kama huu,

Hebu zianikeni HAPA...waone madudu yao...HIVI KWELI MIMI MTANZANIA NIKIPATA TATZO NCHI YANGU ITANISAIDIA?KAMA BALOZI ZAKE ZENYWE HAZIJASIMAMA VILIVYO?

SHAME ON YOU!
SHAME ON YOU!
SHAME ON YOU MR M
SHAME SHAME SHAME!!!!!!!
Mbona hata wewe hujui Kiswahili.WALINIKALIBISHA ndiyo mini?
 
Back
Top Bottom