AIBU TUPU: Ubalozi wa Tanzania hapa Zimbabwe...

umechanganya mada, ubalozi wa marekani tunategemea wawepo wamarekani ili aweze kuwasaidia wamarekani wenzake kwa ufasaha na wajiskie wapo nyumbani wawapo kwenye balozi zao nje ya nchi yao, sasa wewe unapotaka interview ya Kiswahili ubalozi wa marekani inakuaje kwani wamarekani lugha yao ni kiswahil. acha kua mzito.

Did you actually read the whole post Bro? And did you read the comment I was reacting to? Probably not! If you did, you'll understand exactly where my comment is from! I suppose I am much lighter than you are in this.
No offense given, not one taken.
 
Balozi nyingi duniani zina wafanyakazi wazawa wala si ajabu ndugu yangu.

Hata hapa nyumbani Karibu Balozi zote kuna Watanzania wanafanyakazi.

Umeweka mada kama vile Tanzania huko Zimbabwe imefanya kosa la uhaini.

Tuipende nchi yetu kwanza..mapungufu mengine ni changamoto tu hizo zinaweza kufanyiwa kazi.
Nadhani alitakiwa kujiridhisha kwanza na alichokiona kama ni sahihi au la
Lakini badala yake ameanza kwa kutoa lawama...
 
Mkuu
  • Receptionist au Office attendant/assistant bado ni nafasi nyeti, hao wazawa wapewe ulinzi wa nje au kutunza bustani
  • Kwa kifupi ndani ya jengo la ubalozi asiwepo mfanyakazi asiye Mtanzania
  • Hao receptionists, office attendants wazawa ndio spies wenyewe wa serekari za nchi husika
Mkuu mbona wapo wazawa wanashika nafasi kubwa zaidi ya hizo za office attendant...ni kawaida kwa balozi kuajiri wazawa.
 
Did you actually read the whole post Bro? And did you read the comment I was reacting to? Probably not! If you did, you'll understand exactly where my comment is from! I suppose I am much lighter than you are in this.
No offense given, not one taken.
unamtisha nani kwa kingereza, ili nijue umesoma acha ukoloni
 
Wewe ulitaka ma staff wote wawe watanzania? Kwahiyo na wetu wote wanafanya kazi balozi zetu hapa wafukuzwe kila balozi alete watu kutoka nchi yake? ? Acheni ushamba, balozi anafanya kazi nje ya ubalozi sana akija ofisini ni kuangalia kazi zilizopo na visa na kupitisha, siyo kila saa yuko ofisi hata kama kazi chache kama hapo Zimbabwe, acheni ushamba
Wewe ndo walewale...Mungu anawaona...mnaojifanya kutetea madudu ili mpate sifa...Mungu anakuona boss..maana najua kama ni kwel unachotetea basi umati utathibitisha hapa kwa wingi
 
Inawezekana mabalozi wetu hawajui kazi zao ndo maana wanateua wastaafu ili wakapunge upepo ughaibuni. Siku tukifahamu majukumu ya balozi hatutafanya hivyo.
 
Mi ninavyojua hata uende ubalozi wa Marekani tz, utawakuta wabongo wanafanya kazi.

Ni kweli wa bongo kibao wanapiga kazi , Kwa sababu wamekidhi vigezo ,lugha English na Kiswahili , umemuelewa vizuri mleta mada.ni kwamba hao aliowakuta huko Zimbabwe Kiswahili akipandi sasa watamsaidiaje Mtanzania ambaye English imemkalia left?
 
Mi ninavyojua hata uende ubalozi wa Marekani tz, utawakuta wabongo wanafanya kazi.
Wanaweza fanya kazi za usafi, lkn kupokea wageni? Kibaya zaidi hawajui lugha ha kiswahili? Kama ndivyo, basi waweke kiswahili kama kigezo mojawapo cha kuomba kazi ubalozini.
 
Kutoa ajira hadi watoto wa Shanghai,mjomba,mashemeji,au watoto wa michepuko wamalize masomo
 
The trouble with Nigeria(read Tanzania ) is simply and squarely a failure of leadership. There is nothing basically wrong with the Nigerian character. There is nothing wrong with the Nigerian land or climate or water or air or anything else. The Nigerian problem is the unwillingness or inability of its leaders to rise to the responsibility, to the challenge of personal example with are the hallmarks of true leadership. qoute Chinua Achebe.
 
Wacha we ofisi nzima ya ubalozi ina wafanyakazi wawili tu wakati huku watu kibao w mambo ya Public and international relationship hawana kazi
 
Back
Top Bottom