AIBU TUPU: Ubalozi wa Tanzania hapa Zimbabwe...

James Hungury

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
825
612
AIBU AIBU TUPU!HUU NI UJINGA NANI AIBU TUPU KWA TAIFA KAMA TANZANIA,
JANA NILITOKA SOUTH AFRIKA NIMESOGEA ZIMBABWE MARA MMOJA,NILIFIKA HARARE SAA TATU USIKU.

20170224_113624.jpg



LEO ASUBUH NIMEAMKIA TOWN KWA ISSUE ZANGU,NILIPOMALIZA MIDA YA SAA SABA NIKAONA NGOJA NIKAUSALIMIE UBALOZI WANGU WA TZ HAPA HARARENILICHOKIKUTA WADAU NI AIBU, KIUKWELI NI AIBU KUBWA,WAFANYAKAZI WAWILI OFISI NZIMA,HAWAJUI KISWAHILI WANAONGEA SHONA NA ENGILISH,
WALINIKALIBISHA.

BASi si unajua ukiwa nje ya nchi yako ukifika ubaloz wako basi unajisikia furaha sana,maana ni kama uko nchini mwako.

Basi wadau nilivyofika nikawasalimia wale wadada,
HABAr zenu
Wakajibu fine..
Nilijua ni wabongo wenzangu bhana kumbe washona, hawajui KISWAHILI kabisa,
Wakaniambia HAWAJUI KISWAHILI hivyo nizungumze kingereza,
BASi ikabidi nianze kuzungumza nao kingereza.

KATIKA kuwauliza wale wadada wakaniambia pale OFISIn wako wenywe na watanzania Wa wawili pekee. KATIKA kufatilia nikakundua wanaowasema wawil ni viongoz wakubwa ambao mara nyingi hawatulii ofisini,
DUUUH!!Nimejiuliza maswali mengi sana nikiwa natoka,

Hivi kwanini ubalozi kama huu usiajili watanzania full? Hata kama ni wachache lakini wawe wanatoka nyumbani?

Kuna WATANZANIA wangap wanalia ajira huko?Kwanini ubaloz kama huu ushindwe KUWA na wazawa wakutosha ukizingatia ni nchi ambayo raia wetu kila siku wanakuja HAPA na ina watanzania wengi.

KWANINI lakini?
Hivi kweli mimi mtanzania nakaribishwa NA mzimbabwe ambaye hajui hata lugha yangu?huu ni ujinga...
Tena nasema ni UJINGA...huwezi kumwajiri mtu kwenye ubaroz asiyejua hata lugha yako....shame on you...tumekuwa wajinga kila mahali,
NASEMA UWAZI NCHI YANGU TANZANIA IBADIRIKE..NAdHAN KUNA baloz nyingi za kwetu zilizo nauzo kama huu,

Hebu zianikeni HAPA...waone madudu yao...HIVI KWELI MIMI MTANZANIA NIKIPATA TATZO NCHI YANGU ITANISAIDIA?KAMA BALOZI ZAKE ZENYWE HAZIJASIMAMA VILIVYO?

SHAME ON YOU!
SHAME ON YOU!
SHAME ON YOU MR M
SHAME SHAME SHAME!!!!!!!
 

Attachments

  • 20170218_153129-1.jpg
    20170218_153129-1.jpg
    137.2 KB · Views: 216
Mkuu,

Nchi ina Tatizo kila sehemu hatueleweki hasa what we care.

Viongozi wakishakuwa madaraka hawajali tena maslahi ya Nchi zaidi ya wao kujinufaisha.

Kiukweli unafika muda inakuwa ni aibu kuwa mwananchi wa Taifa kama hili.

Na haya mataifa yalishatusoma thus why wananchi wanaonewa sana katika nchi na hakuna kinachofanyika.

Sometime nawaza sijui kam tungepata UHURU kwa mtutu huenda kidogo tungekuwa na akili.

Nchi hii dah.
 
Kama habari ya kweli ni aibu kwa taifa letu tulipendalo.

'Ujamaa house imekosa wajamaa'

Naona umenitangazia nafasi ya kazi ngoja niweke vyeti vyangu tayari.(utani)

Ila huko nasikia kama nataka nikanunue sembe au dona nikodi Guta.
 
Back
Top Bottom