denestumain
Senior Member
- Sep 20, 2014
- 172
- 152
Wanathibitisha kwamba wamekata tamaa, mwaka 2010 walivyokuwa wanaonesha wabunge wao walivyokuwa wanashinda, waliwapamba kweli lakini sasa hakuna dalili ya hayo kurudi, ndio sabb tunahitaji wafumuliwe upya kabisa waache tu