nachasudwa
Member
- May 17, 2015
- 72
- 34
Sijawaelewa TV ya taifa kwenye jambo muhimu ka hili wameweka kipind cha watt....au ndo wanaogopa wataonekana wameegemea upande mmoja...?
Wonders never End...Only In Tanzania ...
Ulitaka waweke nini? Coverage unayoipata tv zingine haitoshi?
Hakika Lowasa amewafanya vibaya sana.
Mbona kama tbc na startv wamesusia uchaguz hawaonesh update!