Acha kuota ndoto za alinacha wewe
Itabidi afukuzwe huyu awekwe 'Mangi' mambo yawe swaafi
Kuwahoji wapiga kura ndiyo umakini wa TV? Ungelaumu kama hawatangazi matokeo iwapo yametolewa.
jamaa nakushauri mapema kama ni kujificha uanze kutafuta mapango ya kujificha mapema maanake lazima WAKUDAKE walisema ni kosa la jinai kupga picha kuonyesha nani umempigia pole sana.
Kwa kweli wewe niAcha kuota ndoto za alinacha wewe
JINGALAO