Aibu kwa TBC1 na Taifa kiujumla

Aibu kwa TBC1 na Taifa kiujumla

Baada ya Kuapishwa Magufuli punde, huyo atateuliwa Mbunge na atafanywa waziri wa Information. hapa kazi tuu
 
Huu Ndio Ushuzi Unaoleta Vurugu Nchi Nyingine. Watu Wamejawa na Visasi na Wivu Ndio Maana Lowassa Atashindwa Vibaya Sana.
 
Kweli inabidi tufanye mabadiliko tu! Viva Lowassa!
 
Watu mnambwembwe! Sisi wengine tumemchagua kiongozi bora na hatujapiga picha karatasi zetu
 
Mgeni yoyote ambae ameitembelea tanzania moja kwa moja ataDhani television ya taifa ni ITV
 
Lowasaaa ✌✌✌✌✌✌✌✌
 
Itv walitangaza kabisa wazazi wasipeleke watoto wao katika kipindi cha wototo show wiki hii kwa uzito wa suala zima la uchaguzi
 
Hicho ndicho kituo ambacho inabidi kiongoze vingine vifuatie, hapo ndipo utaelewa wanaotaka mabadiliko wanamaanisha nini!
 
Hivi huko mnatafuta nn mimi hata mwanangu wa 3 years haipendi tbc kabisa huwa anaangalia ubongo kids tuu kwisha.

Huyo mwanao kama mwanangu ni jumamosi kwa jumamosi tbc imekosa mvuto sijui kama wanalijua hilo wahusika
 
Wakati TV zote zinaonyesha habari za uchaguzi mkuu, kituo cha TBC kinaonyesha kipindi cha watoto cha nyota njema.
 
Back
Top Bottom