Safi sana kaka, naona tume share vyote kuanzia Uraisi, Ubunge na Udiwani hakika ujafanya makosa mabadiliko hayakwepeki.wanaogopa kitu hiki hapa, hamna namna!
TBC ni very hopeless...
Edo kawashika pabaya.... Wapi Dialo
Wote wanaonesha uchaguzi wacha wajukuu zetu nao wafarijike na katuni.
Hongera sana TBC kwa kuwakumbuka dogoz.
Ukawa poleni, Lowassa kajinyea.