TBC inatajiwa ifumuliwe upya, kuna watu hawastahili hata kuwa walinzi wa hii mali yetu
TBC inatajiwa ifumuliwe upya, kuna watu hawastahili hata kuwa walinzi wa hii mali yetu
Wakati vituo makini kama Itv, Azam Two na Channel Ten wakiwa na vipindi ambavyo ni live updates za Uchaguzi Mkuu toka sehemu mbalmbali nchini, Televisheni yetu ya Taifa, Tbc1 inaonyesha katuni, aibu iliyoje?
Hakika huu ni ukiritimba mkubwa sana.