Zama zimebadilika. Nao wabadilike,vinginevyo wataishia kudeki na kufua nguo za mashemeji zao huku wakiwa na miaka 30Shida siyo kwa wasomi bali elimu wanayofundishwa......."collar job based"
Hapa ndiyo mnapokosea. Kilimo siyo kwa wasio na elimu tu. Dangote ...tajiri namba moja Afrika ni mkulimayani na elimu yetu tulime, umuhimu wa kusoma upo wapi
Tumieni elimu zenu kubadili mfumo wa masoko ama kutafuta masoko boraIssue sio ardhi issue unacholima utauza wapi au utegemee dalali sokoni
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Nikweli,lakini kila nikiangalia mfano dsm pamekuwa pagumu sana....kuna baadhi niliwajua walijiajiri kama machinga ila jana wamebomoa kutokana na kinachoendelea......kuna changamoto kubwa zaidi inakuja zaidi ya iliyopoZama zimebadilika. Nao wabadilike,vinginevyo wataishia kudeki na kufua nguo za mashemeji zao huku wakiwa na miaka 30
Hatakuwa na jipya huyu. Aliongea yale yale ya motivational speakers.. wanakwambia nyanya zinalipa wakati wao hata shina moja hawana.Huko kwa RC nini kilijiri!??
Kama kilimo kingekuwa kinalipa,basi mikoa ya Kanda ya ziwa,nyanda za juu kusini ingeongoza kwa kipato kimkoa na mchango kwenye pato la Taifa,lakini unajua mkoa unaoongoza?ni Dar es salaam,mkoa ambao hauna shughuri kubwa za kilimo lakini unachangia asilimia 80 ya pato la Taifa!!Hivi wewe ambaye unajiita umesoma halafu inalalamika kuwa huna kazi, unafahamu kwamba unajidhalilisha?
Acha wakose kazi vijana wa Ulaya na Marekani huko lkn siyo hapa Tanzania. Ardhi yenye rutuba isiyohitaji mbolea imejaa tele kwann usijiajiri kwenye kilimo?
Ardhi ya bure ipo tele katika mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga, Ruvuma, n.k.
Kwani lazima ukae mjini? Mbona watanzania zaidi ya 80 wamejiajiri ktk kilimo tena wengi wao hawana madigrii kama ninyi lkn maisha yanasonga na ni watulivu wala hawapigi kelel za kukosa ajira.
Wengi wenu mmesomeshwa na wazazi wenu ambao ni wakulima wasiokuwa na elimu. Hawajawahi kuajiriwa na yeyote maisha yao yote.
Mmerogwa na nani ninyi mnaoenda shule? Kama hizi shule na vyuo mnavyoenda ndiyo vinawapeni huu ujinga mm nashauri zifutwe.
Kuna vijana chungu nzima walioishia darasa la saba wanaendeleza maisha kwa kilimo na shughuli nyingine hatusikii wakililia ajira. Wewe msomi umesoma halafu unalia. Usingesoma je? Jinga kabisa!
View attachment 1974112
Kilimo cha mdomo rahis kweli sio cha shambani. Ukodishe shamba kama huna, utafute vibarua, ununue mbegu, mbolea hii inayopanda kila siku, madawa, sumu za wadudu, booster. Hapo bado hujaibiwaKama kilimo kingekuwa kinalipa,basi mikoa ya Kanda ya ziwa,nyanda za juu kusini ingeongoza kwa kipato kimkoa na mchango kwenye pato la Taifa,lakini unajua mkoa unaoongoza?ni Dar es salaam,mkoa ambao hauna shughuri kubwa za kilimo lakini unachangia asilimia 80 ya pato la Taifa!!
Kwa kila shilingi 100 inayoingizwa kwenye mfuko wa Taifa,asilimia 80 inatoka Dar!!hiyo mikoa inayolima ipo wapi??
Hoja zako kwamba vijana wakiomaliza vyuo waende mikoani,wakamate ardhi(ambayo ipo bwelele)walime,zimekaa kinadhalia tu na ni story za kwenye makaratasi hazina uhusiano na Hari halisi iliyopo kwenye mazingira yao.
Huwezi kutoka hapa ukaenda Katavi,ukachukua ardhi,ukaanza kulima mahindi,ukavuna!na ukapiga pesa ndeefu!?
Mfuko wa mbolea unauzwa 100000Tsh,gunia la mahindi linauzwa 20000Tsh!
Vijana wengi mnakwamishwa na tamaa.ukapiga pesa ndeefu!
Kwahiyo mnaona bora msomi afue boksa za shemeji yake?Kilimo cha mdomo rahis kweli sio cha shambani. Ukodishe shamba kama huna, utafute vibarua, ununue mbegu, mbolea hii inayopanda kila siku, madawa, sumu za wadudu, booster. Hapo bado hujaibiwa
Afue tu. Hamna kitu kirahis kama huna pa kuanzia wala source ya kukianzisha.Kwahiyo mnaona bora msomi afue boksa za shemeji yake?
Nafurahi kusikia umethubutu na umeweza. Wewe kazi yako moja tu imebakia, kushughulikia changamoto ya soko. Hongera!Mkuu Unafikir hatulimi sasa mtu unalima na mahindi unapata ya kutosha ila sasa changamoto n nying kuliko faida mkuu mm n mwenyej wa mbeya ukiacha mbali madawa na mbolea ukija kupiga usafir ukija kupiga vibarua ukija kupiga tozo kod haya unataka kuuza Unakuta gunia ef 30 soko market n tatizo pia
Hapo sasa. Kwanza mbolea inavyopanda kila siku wakulima wengi watashindwa kulima tena. Na ili upate mazao mazuri mbolea muhimu. Labda wakulima wakipungua demand itakua kubwa supply kidogo bei za vyakula zitapanda mkulima atafaidi ila consumer atakoma.Mkuu Unafikir hatulimi sasa mtu unalima na mahindi unapata ya kutosha ila sasa changamoto n nying kuliko faida mkuu mm n mwenyej wa mbeya ukiacha mbali madawa na mbolea ukija kupiga usafir ukija kupiga vibarua ukija kupiga tozo kod haya unataka kuuza Unakuta gunia ef 30 soko market n tatizo pia