Wakuu hii ni aibu ati mkuu wa nchi anakwenda kufungua kidaraja kama hicho???
![]()
JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua.
Picha zote: Ikulu
Wakuu hii ni aibu ati mkuu wa nchi anakwenda kufungua kidaraja kama hicho???
![]()
JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua.
Picha zote: Ikulu
Kwani hakuna Meya hapo? JK anatakiwa azinduwe daraja la kigamboni kama kweli litajengwa.Maghufuri angeweza fanya Hii kazi si lazima Mk,were kuuza sura
Ndio hata asprin za shilingi mia zinaokoa maisha ya watu...lakini it doesn't worth kupiga la mgambo ,mshururu mkubwa mkoa mzima unasimama kufanya kazi kwa ajili ya kitu hicho...ili asee ametimiza ahadi...akitaka hivyo watataka kigoma iwe dubai kama ilivyo ahidiwa ,Watu wana hoji kwa kuwa ni kodi za wananchi zinatumika rais anapotembea .Lakini kwa dhati kabisa hongera Rais kwa kutimiza ahadi japo si kubwa ila moyo wakutimiza ahadi uendeleze na kwenye makubwa pia.Wakosoaji wa mambo wanapoishiwa vya kukosoa bana, wewe unaona ni machuma na cement lakini wakazi wa maeneo ya mtombozi wanajua adha iliyo kuwepo, wajawazito wangapi walijifungua ngambo ya mto na wanafunzi wangapi walijeruhiwa na mamba hapo hicho ndicho kinachompa sababu rais wa nchi kwenda kushiriki na wana matombo kusherekea ukombozi huu.
Mtombozi na Matombo.Hilo tu ni jibu tosha kabisa.
Maghufuri angeweza fanya Hii kazi si lazima Mk,were kuuza sura
Kwani hakuna Meya hapo? JK anatakiwa azinduwe daraja la kigamboni kama kweli litajengwa.
Wewe acha kuwa na mawazo mgando, kilichofanyika sio hisani bali ni wajibu wa serikali kwa mujibu wa mkataba wetu kabla hatujawachaguwa. na ukumbuke huo sio msaada bali ni kodi zetu wenyewe.Hasara ya kuishi mjini.nenda uko kijijini kulikozinduliwa iko kidaraja alafu wambie haya uliyoandika kama watakuelewa.Mkuu adha walioipata mpaka wamejengewa iko unachokiita kidaraja wanamshukuru mwenyezi mungu.Nenda kwengine kaone
JAMANI TUSIPINGE KILA KITU
Hao watu wa kutuliza ghasia wanahitajika kweli?
Yeye mwenyewe ghasia, akianguka hapo anahitaji wa kumbeba na kumkimbiza garini.