Chebe17
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 275
- 67
nahisi ww ndo humridhishi wako coz jinsi ulivyogeneralize ni wanaume wote! Sasa wao kama wanaume hawawaridhishi wamefahamu vp hawardhishwi? Kama kuna baadhi wanawaridhisha its simple to compare otherwise sema aibu ya baadhi ya wanaume na c wanaume wote
Mtoa mada ameeleweka sana kama unajijua unamkaza mtu wako poa huna haja ya kucomment.. Pita taratibu usipanic👉👉
Ila ni kweli wanawake wenyewe wanasema (baadhi) mie nishawasikia ila huo ulikuwa ushauri wake kwa wale wasiopiga hata bao2 per night. Ndio maana michepuko imezidi.